Watangazaji ITV wanaaibisha

Chali wa Moshi

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
258
61
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.

nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa UK Andy Murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.

naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.
 
Pambanua, weka wazi unachokusudia tuchangie vizuri usifungefunge maneno!
 
jamaa wanatamka hili jina hivi murai while jina linatamkwa mari.

you see!! nafaida kwa wengine wasiojua.
 
unachoongea ni kweli lakini kumbuka hata wazungu baadhi ya majina ya kiafrika yanawasumbua kutamka nao tuseme hawajasoma? Mkuu tofautisha neno na jina.
 
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za itv lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.

Nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa uk andy murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.

Naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.
hebu na wewe usiwe mshamba kiasi hicho!!!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajui kutamka, wewe unataka wamtamke kiingereza huku wansoma taarifa kiswahili? Kwani itv yetu uingereza wanaiona? Anyway huyo murray anatusaidia nini sisi? Kila mtu ana lafudhi yake kwa hio mimi siwezi kushangaa matamshi ya mtu bali huwa naangalia mpangailio wa habari.
 
Ni kweli tatizo ni hilo tu au una jako jambo? Wewe ulielewa taarifa yenyewe au jina lilikukwaza. Umezua maswali mengi mno kwa kushindwa kwako kujieleza.
 
hebu na wewe usiwe mshamba kiasi hicho!!!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajui kutamka, wewe unataka wamtamke kiingereza huku wansoma taarifa kiswahili? Kwani itv yetu uingereza wanaiona? Anyway huyo murray anatusaidia nini sisi? Kila mtu ana lafudhi yake kwa hio mimi siwezi kushangaa matamshi ya mtu bali huwa naangalia mpangailio wa habari.

kaka jina lamtu ni lamtu tuu, usije ukajitetea kwamba eti wanalitamka kiswahili, mbona channel 10, TBC na hata pia star tv wanatangaza kwakiswahili na wanalitamka vizuri tuu.

au star tv nichaneli ya kiingereza vile vile chaneli ten.

tumieni akili kama jambo hujui, ukielimwisha shukuru.
 
jamaa wanatamka hili jina hivi murai while jina linatamkwa mari.

you see!! nafaida kwa wengine wasiojua.

wewe unayejua umepata faida gani? wewe na mwenzako nendeni jukwaa la
lugha mkafundishane namna ya kusoma huko, mkifaulu ndo mje jukwaa la siasa.
 
acha hzo,umemuona janejone tbc anachapia had kpind cha michezo kina bid kicmamishwe,majina ya wazungu magumu kwetu africa.
 
akili zako kama bwm au sokwe maana hoja zako za kitoto!kanawe miguu ulale.
 
mona maximo alikuwa anamuita mrisho ngassa "mirisho ngasa" hukusema au kwa kuwa ni mweupe. Huyo mtangazaji ni mtanzania so akikosea kutamka jina la kizungu sio issue. You should decolonize your mind.
 
mona maximo alikuwa anamuita mrisho ngassa "mirisho ngasa" hukusema au kwa kuwa ni mweupe. Huyo mtangazaji ni mtanzania so akikosea kutamka jina la kizungu sio issue. You should decolonize your mind.

kukosea kila siku? mbona tv nyingine awakosei au wao sio watanzania?

watangazaji kama kina Erick Mwigane wa tbc mbona wao hawakosei au wao sio watanzania?
 
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.

nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa UK Andy Murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.

naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.

Umekosea. It is not its right place. Hili ni jukwaa la siasa. Sasa wacheza tennis wanafikaje kwenye siasa????? Unatuharibia attention ya Arumeru mashariki.
 
Umekosea. It is not its right place. Hili ni jukwaa la siasa. Sasa wacheza tennis wanafikaje kwenye siasa????? Unatuharibia attention ya Arumeru mashariki.

nimeona hukundokuna waelewa zaidi, lakini kama nimekukera leave me alone.
 
Back
Top Bottom