Watangazaji ITV wanaaibisha

Haaaa unataka kuniambia hata ajavuta hisia kwamba yule mwanamziki wa marikani wanamuitaje lol kesi murai(Keith Murray)
 
hebu na wewe usiwe mshamba kiasi hicho!!!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajui kutamka, wewe unataka wamtamke kiingereza huku wansoma taarifa kiswahili? Kwani itv yetu uingereza wanaiona? Anyway huyo murray anatusaidia nini sisi? Kila mtu ana lafudhi yake kwa hio mimi siwezi kushangaa matamshi ya mtu bali huwa naangalia mpangailio wa habari.

Kama hatusaidii kulikuwa na haja gani ya kutangaza taarifa zake?
 
Hii si issue, bali aibu ni jinsi walivyohandle matangazo ya Uchaguzi Arumeru Mash. Na sisi tumeandika humu hata kama tumebaniwa kinamna hakuna shida!
 
Back
Top Bottom