Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Yale yale ya South Africa.
Tumewaweka Mazimbu, morogoro hadi wakapata uhuru.
Tumekwenda kufanya kazi kwao, matokeo yake ni kuuawa kinyama.
Ndio litakalofuata huko Zanzibar.
The way the cookie crumbles in Zanznibar.

Wapemba nao wafunge maduka yao Dar es salaam?
Pazuri sana hapo!

Teh teh teh, Wapemba wafunge maduka? Mkuu yawezekana ndivyo itakavyokuwa cause, To every action there 's equal and op. reaction.
 
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.

..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.[/QU
 
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.

..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.
Hatuwezi kuvuwamilia watanganyika wenzetu kunyanyaswa na kuwawa na watu waliolegea mpaka midomo, hawa wapemba wa bara ndo wanaowafadhili hao wawakatae watanganyika.

Hawa watu ni wabaguzi na wadini sana, wametukuta na umoja wetu wajaribu kutugawa wakashindwa waanzisha vurugu. Usione simba amelala ukasema amekufa!
 
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.

..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.

Ujeuri wao wa kijinga naona hawa wakirudi ndio watawaelewesha vizuri. Vimaskini jeuri hivi sijui kwanini tunawabebabeba mpaka leo
 
Ujeuri wao wa kijinga naona hawa wakirudi ndio watawaelewesha vizuri. Vimaskini jeuri hivi sijui kwanini tunawabebabeba mpaka leo


josephine03,

..wa-Tanganyika wakianza kuwadhuru wa-Znz walioko Tanganyika basi nao hawatakuwa na tofauti na Uamsho.

..pamoja na kuchukizwa na mambo wanayofanyiwa wa-Tanganyika huko Zanzibar sidhani kama kulipiza kisasi will make us or our lives any better.
 
Mi nashauri smz hitoe elimu ya bure kwa wazanzibar kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita ujinga ukipungua zanzibar tutaishi kwa amani.
 
Mkuu unaandika uwongo uwongo mimi niko zanzibar hilo uloandika lako mwenyewe hakuna kitu hicho zanzibar. Unachochea chuki tu huna lolote mzushi mkubwa .kama ni vile usemavyo wewe nambie mbara gani kapigwa na wanatembea bila kuulizwa chochote WAZANZIBAR WANATAKA dola ya zanzibar bila muungano huu hawana shida na watanganyika,wakenya,wataliana au waarabu watu wanataka nchi yao 2 basi
 
Hivi hawa wazanzibari 300 kwa nini watusumbue hivi! Kwa nini lakini?!

Mbaha...hawako mia 300...hawa wanawakilisha mawazo ya wazanzibar walio wengi....Kiujumla iitishwe kura ya maoni mtaona vihoja...Sisi wabara ndio tunalazimisha muungano tena kwa faida ya wazanzibari.... Mie nadhani kura ya maoni ni muafaka ikiuwezekana kila mtu achukue kilicho chake....
 
watoto wadogo sana hao..dakika tano tu kazi imekwisha...uamsho unakuwa ulala
 
Hili vuguvugu litatulia tu soon, najua serikali inajipanga.

Ila in the long run kuna haja ya kuyatupia macho kwa karibu haya maswala.
 
Sioni hasara yoyote kama Muungano ukivunjika, hawa jama wz wanainyonya Tanganyika. Tunawabembeleza wa nini hawa? Binafsi sioni faida yoyote ya kuwabeba hawa jamaa, ni wa shari na wabaguzi wa dini kwa kutumia mwamvuri wa uisilam!!!!
 
Nakumbuka Wajapan walipoipiga Marekani wakati wa vita kuu ya 2 dunia shambulio la kwanza kwenye ardhi ya Marekani "PEARL HABOUR" Kuna general moja alimuonya mfalme wa Japan wakati huo, kwamba Japan imefanya makosa makubwa (Kumbuka Marekani wakati huo haikuwemo kwenye vita kuu ya 2 dunia). Alisema kwamba Japan has WAKE UP A "SLEEPING GIANT" Marekani ilibidi iiingie kwenye vita kuu ya 2 ya dunia. Yalifuata kama kipigo cha Ijima, Hiroshima, Nagasaki is history.

Tangayika kwa Zanzibari naifananisha na SLEEPING GIANT. Siku Watangayika waki wake up wakaanza kuwashughulikia Wazanzibari wote walioko Tanganyika, mpende mspidende itakuwa vilio na kusaga meno kwa ndugu zetu wazanzibari!
 
Back
Top Bottom