Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Mkuu unaandika uwongo uwongo mimi niko zanzibar hilo uloandika lako mwenyewe hakuna kitu hicho zanzibar. Unachochea chuki tu huna lolote mzushi mkubwa .kama ni vile usemavyo wewe nambie mbara gani kapigwa na wanatembea bila kuulizwa chochote WAZANZIBAR WANATAKA dola ya zanzibar bila muungano huu hawana shida na watanganyika,wakenya,wataliana au waarabu watu wanataka nchi yao 2 basi

acha zengwe ww, media zote local na za nje zinariport vurugu za zanzibar pamoja na madai yenu lakini bado hatuwaelewi chuki ya wakristo na watanganyika walioko zanzibar ina uhucano gani na madai yenu
wazenj nyie malimbukeni udini umewajaa, sisi pia tuna watu huko wanatupa updates as they happen..mkuu nahic unaishi kaskazini pemba hauko unguja (mjini magharibi)
 
Mwananchi

Mara baada ya kuchoma Makanisa mawili hapo jana kikundi cha uamsho kimepitisha na kusambaza karatasi milangoni mwa wakazi wanaodhaniwa kuwa ni wa kutoka bara na kutakiwa waondoke visiwani humo.

My cincern

Tunakoelekea sijui ngoja nione movie itaishia wapi

Ni kama wiki sasa toka vurugu hizi zianze na jana zimeingia ktk hatua mbaya, ivi J.Kikwete katoa tamko kweli, yupo wapi kwanza
 
....kama tatizo ni Muungano, Makanisa ya nini? yanahusikaje? Lazima watu tujiulize kwa upana zaidi ili kunususru uwezekano wa kutokea tatizo kubwa zaidi ya hili. Ukristo uliingia Visiwani miaka mingi mno hakuna hata mzanzibari yeyote aliyeshuhudia mwanzo wake, leo wanakuja wajinga wachache wanaleta vurugu za kijinga!
 
sipendi wanzanibari wanavyodeka. nadhani imefika mahali tuwatupe kama ganda la muwa. karibia kila kitu wanapata toka bara halafu ng'weee, ngw'eee, ng'weee. stupid
,

Sisi ndio hatukupendeni nyinyi,tunataka kama leo mvunje huo muungano maana nyinyi ndio mloshika mpini sisi tuna
makali,hebu vunjeni muone kama tutakupapatikieni sisi.majambazi
 
Yale yale ya South Africa.
Tumewaweka Mazimbu, morogoro hadi wakapata uhuru.
Tumekwenda kufanya kazi kwao, matokeo yake ni kuuawa kinyama.
Ndio litakalofuata huko Zanzibar.
The way the cookie crumbles in Zanznibar.

Wapemba nao wafunge maduka yao Dar es salaam?
Pazuri sana hapo!

Siyo hivyo tu ... Ni rahisi mkenye kupata visa ya kwenda South Africa kuliko mbongo. Na ndo haya ya wazenji!
 
Jumuia ya Uamsho ZNZ,
Mmechemsha tena sana kwani hata kama haikua dhamira yenu kuchoma kanisa, sasa mmewaruhusu waliokua na dhamira hiyo kutekeleza dhamira/nia yao.Kama waungwana ombeni samahani

na kama wabara wanaharibia mila zenu, si njia nzuri pia luwasababishia maumivu, kuwapa vidonda, hasara na mengine mengi ninyi kamaeni na Serikali yenu na kuwaambia nia yenu ya kutotaka Muungano na kuwashinikiza na waikubali ila
Hata sisi wabara though tupo kimya hatupendi hizi chokochoko zenu
 
Mkuu unaandika uwongo uwongo mimi niko zanzibar hilo uloandika lako mwenyewe hakuna kitu hicho zanzibar. Unachochea chuki tu huna lolote mzushi mkubwa .kama ni vile usemavyo wewe nambie mbara gani kapigwa na wanatembea bila kuulizwa chochote WAZANZIBAR WANATAKA dola ya zanzibar bila muungano huu hawana shida na watanganyika,wakenya,wataliana au waarabu watu wanataka nchi yao 2 basi

Wewe kanusha tu,lakini hila zote wanazofanyiwa watanganyika tunazifahamu.Kinachonishangaza mimi ni hawa jamaa kufanya opearation hiyo bila kujali kuwa huku Tanganyika kuna wapemba wengi,hii ni kuhatarisha maisha ya wapemba waishio Tanganyika!
 
Inaonekana huu muungano unalazimishwa na Watanganyika. Kama suala ni Muungano kwanini makanisa yachomwe? magari na mali nyinginezo za viongozi wa makanisa ziharibiwe? Kuna kitu zaidi ya MUUNGANO, kumbukeni kuwa hili kundi la uamsho lina undugu wa karibu na Udugu wa Kiislamu aka MUSLIM BROTHERHOOD! Malengo yake makubwa ni yale ya Islamization of the World. Suala la WABARA sitashangaa kuwa ni kisingizio tu bali ugomvi hasa ndo huu wa dini. Najiuliza hivi kweli kama ingetokea Wakristo bila kujali dhehebu wamechoma msikiti, hivi hali ingekuwaje saa hii? Nadhani MUNGU wa kweli ataka amani na MUUNGU hutaka fujo!!!! hainiingii akilini kwamba uue ili uende mbinguni, bila shaka haiwezekani kuwa mbinguni bali kule kwingine!!!!!

Sipendi kulazimisha muungano ila wakumbuke kuwa nje ya Muungano HAKUNA Zanzibar narudia tena HAKUNA Zanzibar ilounganika bali kuna Unguja na Pemba. Kuna Washirazi, Waarabu na Makabwela!!! Pingeni Muungano, Piganeni na Ukristo, Pingeni hao mnaowaita Makafir, Pigeni Wabara katika kivuli cha Muungano ila kumbukeni kuwa hata ndani ya uislamu hakuna umoja. Waahamadiya watawapiga Wasunni, Wasunni watapigana na Washia na washia watapambana na madhehebu mengine ndani ua "Uislamu". Hakuna amani inayopatikana kwa kutumia nguvu bali amani hupatikana kwa maelewano. Iko siku Hao mnaowaita Mkafir watakapoamua kujikomboa ndipo mtakapojua kuwa every person can behave like an animal if triggered or forced to.

Some religions have brought nothing but chaos in the world. How I wish we could change to back our times and how I wish this year were 609 AD before 610 AD the so called "Revelation" which most of us call PSEUDO revelation had not yet taken place. I wish this movement wouldn't emerge for God's sake. How I wish Johanna's last Crusade was allowed to continue to the END OF UNCIVILIZED and distorted world, we would be at Peace under one roof as a Nation!!!

I have written this with sentiments because I have a relative in Zanzibar ambaye jana usiku alinusurika kuuwawa pale alipokwenda kuzima moto ambao hawa hawa wafuasi wa UAMSHO walikuwa wamechoma Kigango/ Kanisa la Tomondo mali ya kanisa Katoliki. Hadi sasa hayuko stable!!! Be cursed whoever got involved in this Tragedy!!
 
Wabara tunataka nini kutoka zanzibar wape nchi yao wajitegemee na watu wa bara karudi mapema mkatafute ukombozi wa Tanganyika maana utanzania ni uzushi.
 
,

Sisi ndio hatukupendeni nyinyi,tunataka kama leo mvunje huo muungano maana nyinyi ndio mloshika mpini sisi tuna
makali,hebu vunjeni muone kama tutakupapatikieni sisi.majambazi

I hate Zanzibar
 
Ni kama wiki sasa toka vurugu hizi zianze na jana zimeingia ktk hatua mbaya, ivi J.Kikwete katoa tamko kweli, yupo wapi kwanza

anasubir kuongea na wazee wa dar,,,ila wanasubiri na wazee wa visiwan,,,,ataongea tu,kwani hujui????si mpaka hali iwe mbaya?????
 
Baada ya kupeleka jwtz kudhibiti mambo Zanzibar ambayo ni "nchi" Zanzibar is technically under occupation.
 
Hiyo ndo hali halisi ya Afrika na watu wake.Dini zililetwa karne nyingi zilizopita kwa madhumuni maalum lakini hata Mwafrika aliyezaliwa katika karne hii pamoja na elimu yake bado anatamani aishi kama Sultan Mwarabu wa Oman.
Hii maana yake ni kuudhalilisha Uafrika wetu na kutamani utamaduni wa jamii nyingine.
 
Teh teh teh, Wapemba wafunge maduka? Mkuu yawezekana ndivyo itakavyokuwa cause, To every action there 's equal and op. reaction.
mmmh wakiwafukuza watanganyika huko ama kumuua hata mmoja itabidi nasi tuwafukuze kkoo mara moja pila kujiuliza mara mbili na waache kila kitu kkoo...warudi kwao zenj... na tuwakatie umeme ryt away...WATAKOMA...
 
Back
Top Bottom