Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Wananchi bado wana imani kubwa na ccm. Wapinzani wanatakiwa kulijua hilo. Hawa wapinzani ni vibaraka na wanadanganyika na kauli za mabwana zao eti ccm inashinda kwa kuiba kura. Kiongozi yeyote wa ccm anayekubali uongo eti ushindi wa ccm unatokana na wizi wa kura basi huyo mwenyewe ndio mwizi wa kura kwa hivyo aachie ngazi. Wapo wanaojipendekeza kwa mabeberu hadi kukubali huu uongo.
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Hakika, ngoja wakomeshwe
 
Huyu Mama wa Kiunguja kairithi Apparatus yote ya yule Diktetore Uchwarazi, ndio maana wanapora kura.
 
Uchaguzi kabla ya JPM mliwahi kushinda.?
Ulizaliwa jana husijuwe alichokifanya Magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 au ndo unajitoa ufahamu? Anyway bila wizi wa kura, kutumia nguvu ya dola na tume feki ya uchaguzi, CCM ingeshakuwa KANU nyingine muda mrefu.
 
Ndo nauliza kabla ya JPM mlikuwa mnashinda vp mpaka sasa tatizo lionekane n jpm
 
Ulizaliwa jana husijuwe alichokifanya Magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 au ndo unajitoa ufahamu? Anyway bila wizi wa kura, kutumia nguvu ya dola na tume feki ya uchaguzi, CCM ingeshakuwa KANU nyingine muda mrefu.

Kwa hiyo udiwani mmeshindwa kihalali?
 
Jinsi unavyomtukuza JPM ni zaidi hata ya mwanae Jesca, tafuta pesa JPM alishaenda, hakuna nyuzi ambayo huwa unaandika humu JF usimtaje Magufulu, wakati wenzako wapo busy kupiga pesa wewe Etwege mwaka juzi ulikuwa unalialia humu JF unatafuta kiwanja cha milioni 4 Dar khaaa!!
Cha ajabu hatmkuzi Baba yake wala Mama yake mzazi
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Utakuwa wewe ni chizi, CHADEMA wameshindwa walikuwa na wagombea?
 
Vipi Tumeshitakiwa MIGA?
 
Jinsi unavyomtukuza JPM ni zaidi hata ya mwanae Jesca, tafuta pesa JPM alishaenda, hakuna nyuzi ambayo huwa unaandika humu JF usimtaje Magufulu, wakati wenzako wapo busy kupiga pesa wewe Etwege mwaka juzi ulikuwa unalialia humu JF unatafuta kiwanja cha milioni 4 Dar khaaa!!
Kumbe kuna watu wajinga sana hapa duniani, uchawa umezidi kichwani
 
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
WAZURI HAWAFI
KURA FAKE
 
Yule mke wa Amsterdam alitulisha matango pori sana

Kweli aiseee alitulisha kasa.

Back
Top Bottom