watakaofanya sex kabla ya ndoa wafungwe jela

uzuri wa hiyo shughuli ina majina mengi, inaitwa 'tendo la ndoa' pale mtu anapokuwa kwenye ndoa tu? nje ya hapo ni uzinzi tu kwa hy hakuna anaefanya tendo la ndoa nje ya ndoa!!!
 
Mmh! Nitawamiss.
Kwi kwi kwi, eti nini? wanaofanya mapenzi kabla ya ndo wafungwe?
Sasa nambie cousin, kazi za taifa na za makampuni watafanya kina nani?
Huyu alikosa mada akaona aanzishe tu kwa namna hii, wala hamaanishi.
Si watu wote wataishia jela, serikali itafirisika kuwalisha na kuwalinda?
 
Waanze kufunga kwanza watoto wanaozaliwa nje ya ndoa kma wewe itakuwa fundisho
watoto wa nje mna mambo kwelii
 
Back
Top Bottom