watakaofanya sex kabla ya ndoa wafungwe jela

royna

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
479
335
Oni langu kwenye katiba mpya,watakaofanya tendo la ndoa kabla ya ndoa wahukumiwe kifungo!
 
...tehetehe. Na watakao balehe/kuvunja ungo kabla ya ndoa wahukumiwe kifungo.
 
Hapo ndiyo umetumia ubongo wako wote na wa akiba kuchangia hoja katika mabadiliko ya katiba mpya?? Tukiwa na 20% ya watanzania wenye mawazo kama huyu, tutakuwa hatuhitaji kabisa katiba mpya!
 
wasisahau na kuweka kipengele cha magereza yapanuliwe. Kila mkoa utoe wilaya zake 3 ziwe gereza la wazi.
 
Na wale ambao hawataolewa kamwe?

Itabidi Watafute vipimio vya ilikukamata waliofanya kabla ya ndoa wakipita njiani wagundulike kisayansi.
 
Mimi nashauri tuanze kwanza na kupanua magereza yetu na kuongeza mengine ya kutosha kwani nina uhakika kwa muda wa wiki moja wafungwa watakuwa wameongezeka maradufu.
 
sio chang'aa peke yake,inabidi nitengeneze mchanganyiko wa chang'aa,gongo na pingu ndo nipate nguvu za kuchangia,tena nguvu za ke na me!


Kama hujanywa chang'aa huwezi changia hapa.

Chukua kikombe, chota kwenye hiyo ndoo ya plastik.
 
Utaziona batabi kweli za laptop?

Angalia usoje ukabonyeza batani za jirani yako.

sio chang'aa peke yake,inabidi nitengeneze mchanganyiko wa chang'aa,gongo na pingu ndo nipate nguvu za kuchangia,tena nguvu za ke na me!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom