Wataka nchi kuingizwa guinnness kufaulisha wasiojua kusoma

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Kambi rasmi ya upinzani bungeni,imesema tz inastahili kuingia katika kitabu cha kumbukumbu cha maajabu ya dunia cha the guinness book of records kwa kufaulisha wanafunzi 5200wasiojua kusoma wala kuandika hii ni kashfa kubwa kwa serekali ya ccm

soure mwananchi jumanne agasti 14/ 2012

ngoja nipate mbege nikachume kahawa
 
Mkuu rombo hapo mwishoni umenikumbusha mbali.Na Hao ndio waliopewa zawadi bungeni leo? kumbe hawajui kosoma laa hii kwl tz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom