Watafiti wabaini aina 800 za mbegu ya ngano

pc20

Member
May 28, 2016
24
10
Watafiti wa Mbegu nchini wamebaini kuwepo kwa aina 800 ya mbegu za ngano, huku baadhi ya mbegu hizo zikiwa na uwezo wa kustawi hata kwenye maeneo yenye joto kali hadi nyuzi joto 40, na kufanya zao hilo liweze kustawi hata maeneo yanayolimwa zao la mpunga, jambo ambalo inaweza kuwa suluhisho la kukabiliana na pengo kubwa la asilimia 90 za mahitaji ya ngano hapa nchini kwa mwaka.

f34820aced436c0e92ca5213a095db5c.jpg
 
Chief ungetufanyia wema,

Kwa kutoa taarifa mujarabu nani kafanya utafiti huo, wapi umefanyikia matokeo yake yana maana gani kwa jamii. Kama imeshindikana walau tupe reference ama link tusome huko.
 
Back
Top Bottom