Wataalamu wa PHP: Nisaidieni nimebrowse Internet YOTE!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Kuna project nafanya na natumia PHP. napata error hii:

Fatal error: require_once()[function.require]: Failed opening required 'http://darwap.site90.net/public_html/smarty/libs/Smarty.class.php' (include_path='.:/usr/lib/php:/usr/local/lib/php') in /home/a2313239/public_html/include/config.php on line 30

Nisaidieni jamani nimesearch internet yoooote! Nawasilisha Wakuu.

PHP haioni hiyo file "Smarty.class.php" pia sidhani kama unatakiwa uweke address yake kihivyo yaani http://... nadhani inatakiwa iwe relative kama hiyo path ya config.php ulivyoiweka ila sina uhakika na hilo.

Hakikisha file ipo, na ipo hapo unapopoint, kama ipo hapo badilisha hiyo path iwe kwenye format kama hiyo ya config.php yaani
/home/..... Smarty.class.php

Soma au tuwekee hapa file la na config .php line 30 ikoje ?

Hilo file na specifically hiyo line ndio ina jibu la kitendawili chako

kama ni line ina mambo ya db name, server name na password basi hakikisha ziko sawa

Some websever hazikubali locahost zinataka uweke jina fulani

smarty ni templating framework. Una hakika imo ktk server yako? Halafu badala ya kufanyia remotely, kwa nini usifanyie locally ukimaliza ndio uzipandishe kwa server?

Nitatizo la path kama alivyosena Kang, katika server nyingi public_html folder hutumika kuweka makabrasha ya takayoonekana kwenye internet sasa unapo call http://darwap.site90.net/public_html/smarty/libs/Smarty.class.php unaiambia server ilete file ambalo halipo.

Ila mbona hii site yako ( http://darwap.site90.net) inafanya phishing kwa ku-call site90.net, vipi bwana.

Hii ndiyo config.php (nimeshindwa ku-upload)

PHP:
(include_path='.:/usr/lib/php:/usr/local/lib/php'<?
error_reporting(E_ALL & ~E_NOTICE & ~E_WARNING);
session_start();
$config = array();
$config['BASE_DIR']        =  '/home/darwap.site90.net/public_html';
$config['BASE_URL']        =  'http://darwap.site90.net/install';
$config['CONF_FILE']        =  $config['BASE_DIR'].'/include/conf.ini';
$config['IMG_DIR']        =  $config['BASE_DIR'].'/images';
$config['IMG_URL']        =  $config['BASE_URL'].'/images';
$config['VDO_DIR']      =  $config['BASE_DIR'].'/video';
$config['VDO_URL']      =  $config['BASE_URL'].'/video';
$config['ADO_DIR']      =  $config['BASE_DIR'].'/audio';
$config['ADO_URL']      =  $config['BASE_URL'].'/audio';
$config['FLVDO_DIR']      =  $config['BASE_DIR'].'/flvideo';
$config['FLVDO_URL']      =  $config['BASE_URL'].'/flvideo';
$config['TMB_DIR']      =  $config['BASE_DIR'].'/thumb';
$config['TMB_URL']      =  $config['BASE_URL'].'/thumb';
$config['baseurl']      =  $config['BASE_URL'];
$config['basedir']      =  $config['BASE_DIR'];
$config['vdodir']       =  $config['VDO_DIR'];
$config['vdourl']       =  $config['VDO_URL'];
$config['audiodir']       =  $config['ADO_DIR'];
$config['audiourl']       =  $config['ADO_URL'];
$config['flvdodir']       =  $config['FLVDO_DIR'];
$config['flvdourl']       =  $config['FLVDO_URL'];
$config['imgurl']         =  $config['IMG_URL'];
$config['imgpath']        =  $config['IMG_DIR'];
$config['ffmpeg']       =   '';
$config['guest_limite'] = 200;
require_once($config['BASE_DIR'].'/smarty/libs/Smarty.class.php');
require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/mysmarty.class.php');
require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/SConfig.php');
require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/SError.php');
require_once($config['BASE_DIR'].'/include/adodb/adodb.inc.php');
require_once($config['BASE_DIR'].'/include/phpmailer/class.phpmailer.php');
require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/SEmail.php');

$DBTYPE = 'mysql';
$DBHOST = SConfig::get("Database", "host");
$DBUSER = SConfig::get("Database", "user_name");
$DBPASSWORD = SConfig::get("Database", "password");
$DBNAME = SConfig::get("Database", "db_name");

$conn = &ADONewConnection($DBTYPE);
$conn->PConnect($DBHOST, $DBUSER, $DBPASSWORD, $DBNAME);

$sql = "SELECT * from sconfig";
$rsc = $conn->Execute($sql);

if($rsc){while(!$rsc->EOF)

$field = $rsc->fields['soption'];
$config[$field] = $rsc->fields['svalue'];
STemplate::assign($field, $config[$field]);
@$rsc->MoveNext();

STemplate::assign('bgcolor','#E8E8E8');
STemplate::assign('BASE_URL',       $config['BASE_URL']);
STemplate::assign('BASE_DIR',       $config['BASE_DIR']);
STemplate::assign('IMG_URL',        $config['IMG_URL']);
STemplate::assign('baseurl',       $config['BASE_URL']);
STemplate::assign('basedir',       $config['BASE_DIR']);
STemplate::assign('imgurl',        $config['IMG_URL']);
STemplate::assign('vdourl',        $config['VDO_URL']);
STemplate::assign('adourl',        $config['ADO_URL']);
STemplate::assign('flvdourl',       $config['FLVDO_URL']);
STemplate::assign('tmburl',        $config['TMB_URL']);
STemplate::setCompileDir($config['basedir']."/templates_c");
STemplate::setTplDir($config['basedir']."/templates");

Site yenyewe ni http://darwap.site90.net/

Hii ndiyo config.php (nimeshindwa ku-upload)

Site yenyewe ni http://darwap.site90.net/

very challneging ngoja sijui wataalam wataupa ushauri gani ila nadhani BASE_DIR declaration kwenye line 5 inaweza kuwa ndio sababu. Sababu hizo value za BASE_ DIR ndio zinatumika kwenye line 30 31, 32 33, 34, 35, 36.

Jaribu kusoma manual za hiyo smarty application kuhusu mambo ya absolute path na relative path . nadhani ndio hasa linaweza kuwa tatizo. na je umefuata maelekezo haya wakati unaisntall Quick Install | Smarty

any way ngoja nami nijipe ractical challenge ya kufanya hiyo instalion kwa majiribio nione

BTN
naona site yako haionekani admin wanasema wanajaribu kuicheki kwa ama kuna suspicous stuff.

Another problem inaweza kuwa kwenye line ya kwanza kabisa
PHP:
(include_path='.:/usr/lib/php:/usr/local/lib/php'<?

Hizi ni mifano ya path na wana assume kuwa installation inafanyika kwenye local linux server. so kama installtion inafanyika kwenye remote online server zitafiti vizuri

Je kwenye server yako hizo path na file zipo na zipo sawa?

NB
But na mimi najaribu kujifunza not fully coding person . u can see my signature. teh teh teh

Kweli hiyo line ya kwanza ina makosa, kwanza inaonekana haiko complete kisha sidhani kama inatakiwa kuwepo hapo, hii php file umeitoa wapi?

So what should I do?

au katika bahatisha bahati jaribu kedeclared line ya 5 iwe hivi

PHP:
$config['BASE_DIR']=  '.';
Assumining smarty directory iko ndani ya public_html au root directry name yeyte kulingana na server yako

Alafu unaweza kuweka site- directory structure ya hiyo smarty ilivyo

eg public_ html directory ndani yake lina smarty directory, libs directory, etc

na hii file la smarty.class.php iko katika path gani relative na home directory

Ngoja nikacheki mpira. ukipata solution nifahamishe na mie nielimike php huwa inanipiga sana.

Kweli hiyo line ya kwanza ina makosa, kwanza inaonekana haiko complete kisha sidhani kama inatakiwa kuwepo hapo, hii php file umeitoa wapi?

Well, I want to build a youtube-like site so I took a script from somewhere kwenye net. Why?

given,
nadhani ni vema ungeanza kuandika script yako, si kazi sana. Muda utakaopoteza ku debug hiyo script ni sawa na kuandika nyingine.
Anyway,
kama ukiamua kuendelea nayo ni kuwa smarty kama nilivyosema ni templating frramework ambayo ni separate package. Humo ndimo utakuta hilo faili. Download free ktk net (google rescues here).
Sidhani kama naweza kwenda mabli kwa kuwa sijawahi kutumia smarty na sielewi modus operandi ya hiyo script yako in full,
HT

Wakuu nawashukuru sana! Let me put your suggestions to work. BRB (Be Right Back)

Wakuu nawashukuru sana! Let me put your suggestions to work. BRB (Be Right Back)

Another option katika trial and error jaribu kubadilisha hii sbbau error uliyokuwa unapata mwanzo ina husiana na na line 30. na line 30 has something to do with BASE_ DIR declaration

So badalaya ya line ya 5 kuwa hivi
PHP:
$config['BASE_DIR']        =  '/home/darwap.site90.net/public_html';

Ifanye iwe hivi
PHP:
$config['BASE_DIR']        =  'home/a2313239/public_html';

Hope a2313239 ndiyo FTP user name yako na hiyo ndiyo absolute path ya webserver space yako

Ikisipoleta matokeo tofauti katika kutatua tatizo kuelewa wapi pa kukomalia jaribu ku comment line 30, 31, 32 33, 34, 35 na 36. Then run hiyo site hizo line zikiwa commented tuone. itatoa feedback gani?

Line nazosema u comment kama hiyo ption ya juu isipoleta tofauti ni hizi
PHP:
// require_once($config['BASE_DIR'].'/smarty/libs/Smarty.class.php');
// require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/mysmarty.class.php');
// require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/SConfig.php');
// require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/SError.php');
// require_once($config['BASE_DIR'].'/include/adodb/adodb.inc.php');
// require_once($config['BASE_DIR'].'/include/phpmailer/class.phpmailer.php');
// require_once($config['BASE_DIR'].'/classes/SEmail.php');

It worked!! Except sasa inaleta error on line 39. Can you give clues there?

Back
Top Bottom