Wataalamu wa PHP: Nisaidieni nimebrowse Internet YOTE!

It worked!! Except sasa inaleta error on line 39. Can you give clues there?
bado haija work bana hahaha anyway twende line 39 ni

PHP:
$DBHOST = SConfig::get("Database", "host");

Nadhani kwenye database na host unatakiwa uweke value sahihi eg database ondoa weka somthing like "a2313239_VVV" kutokana na Db uliyocreate na hostname unayotakiwa kutumia inaweza kuwa mysql14.000webhost.com( Sababu Webseever wako ni 000webhost cheki kwenye setting walizokupa utumie hizo)

Hakikisha na username na password unazotumia ziko mwake.
 
Aisee sasa uki commenet kila kitu tutanbai na nini. Dhumuni zima la comment to my view ilikuwa kwanza kuondoa code zinazoreference BASE_DiR tu ili tuhakikisheeverything eslse works fine.

If we go on cmmenting everything that bring an error hatutafika popote.

At last tukiona hakuna error itabidi turudi tena tu un- comment na tudili na hizo error sugu.

so hakikisha line 39 mpaka 43 umeweka value sahihi.
 
Right. All values 39 to 43 are set. Dhumuni langu la commnt lilikuwa kama lako, i.e baadae turudie. So what should I do next?
 
Nope, tatizo now line 47.<br />
<br />
Fatal error: call to a member function EXECUTE () on a non-object in (ile path ya include)
 
Nope, tatizo now line 47.<br />
<br />
Fatal error: call to a member function EXECUTE () on a non-object in (.:/usr/lib/php:/usr/local/lib/php)

Yah nilitegemea utapata somewhere hili tatizo maana mpaka sasa sijajua hiyo path kama ina apply kwenye server yako

line 47 kwangu ni hii
PHP:
$sql = "SELECT * from sconfig";
  • je kwenye database yako unayo table ya sconfig?
  • Na je kuna php file la SConfig somewhere? liko path gani?
Angalia na pm yako
 
Giveality
Nimeajaribu yotube clone script tatu tofauti zimekufabali kufanya installtion bila tatizo. But sidhani kama zinaweza kuoperate vizuri sababu Webserver hawana features zote zinazotakiwa.

Nilikuwa katika mooood ya kujifunza kitu kipya leo ikabidi nijaribu tu . nimeona umekuwa kimya . Hope utafanikiwa.
 
samahanini wakuu nimekuwa sina access na net for quite some time. But i'm back. Mtazamaji, please give me some of the scripts and a link to where you installed. Maybe we can work together on this?
 
samahanini wakuu nimekuwa sina access na net for quite some time. But i'm back. Mtazamaji, please give me some of the scripts and a link to where you installed. Maybe we can work together on this?

Mkuu nilipoisntall nimeshazitoa hata hivyo inawezekana sio hiyo Script iliyokusumbua wewe. Any way nikipta muda nitairudissha ila ingependeza useme ni script ipi unatumia . Au ni siri ya kibiashara unogopa watu kuiba idea. teh teh teh

Nilizjoribu mimi zilikuwa Phpmotion, clipbukcet na nyingine nimesau jina

Hii ni free acount nilifungua kwa ajili y kutest http://www.kicheko.webuda.com/
 
why don't you write new thing altogether?

Mkuu hivi ni busura na efficinet kweli kuanza kutengeza kitu kipya wakati vipo tayari.

Mfano can u advice ce someone atengenze website nzuri from scratch wakati unaweza kutumia joomla, worpress au Drupal.
 
did you see my post? Why donLt you write your own than learning/fixing another ones code? You will learn plus fixing will be easy and adding security fixes will be easy!
Any advantage you get by glueing yourself to that script?
 
glad you got it!@ Given
Muda anaotumia ku fix matatizo ya hiyo script angeshafika mbali kama angekuwa anaandika ya kwake plus Joomla et al huwa hazisumbui hivi @Mtazamaji
 
Back
Top Bottom