Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 635
Jana nimeinstal TrustPort USB antivirus kwenye flash yangu aina ya SONY USB2.0 (4GB), no problem occured hadi leo nilipocopy file kadhaa za ukubwa wa kama 1.3GB. Sasa shida imekuja kwamba nilipoirudisha kwenye computer yangu (os-windows 7 home adition 64bit, RAM 3GB), inastuck kwenye kufungua hiyo flash, so nimeshindwa kucopy tena. Mimi natumia immunet antivirus free version.
Ninapoinsert hiyo flash inaleta error message inayosema:
Do you want to scan and fix Removable Disc?
There might be a problem with some files on this device or disc.This can happen if you remove the device or disc before all files have been written to it. Kusema kweli mimi natumia utaratibu wa kawaida (safely remove disc) kila mara.
Scan and fix(recomended).
Continue without scanning.
Niki-scan & fix it remain silent/iddle, hakuna kinachoendelea.
Niki-continue witout scanning, ni vilevile, hakuna kinachoendelea.
Nimejaribu kutumia Windows 7 altimate 64 & 32bit, Vista na XP imefunguka, contents zote zinaonekana na kusomeka vizuri tu, unweza kuhamisha(copying) ila huwezi kuingiza(paste) chochote tena. Kibaya zaidi ni kwamba imeshindikana kuformat kabisa. Inaleta error message: The disc can not format na sometimes inasema the disc is protected(labda kwa sa'bu ya trustport). Hata ukijaribu kudelete chochote inasema, the file can not be deleted because it si protected.
Nimejaribu kutumia program ya Unkocker ambayo kwa kawaida naitumia kudelete outorun inf. vitu vingine vyenye shida kufuta bado inasema tu the file is protected.
Tatizo hapa ni kwamba nashindwa jinsi gani ya ku uninstall hii TrustPort kwa sababu ipo installed kwenye flash tu,sio computer, lakini pia sijui ni jinsi gani ya ku fix tatizo hili.
Naombeni nisaidiwe tafadhali.....