Wataalamu, Kelvin Power na wenzake

IKHOIKHOI

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
366
41
Naombeni msaada manake IDM katika computer yangu imekataa kata kata kufanya kazi baada ya kuwa ime-expire baada ya siku 30 za majaribio. Nimejaribu kufuata taratibu za kucrak lakini hakuna kitu, nimejaribu ku-uninstall na ku-install mara kibao lakini wapi, kila nikiweka inaniletea kaprompt kwamba siku 30 zimekwisha. Plse help
 
itabidi ubalishe ip address ya pc yako ndio uidownload tena nyingine..
 
Naombeni msaada manake IDM katika computer yangu imekataa kata kata kufanya kazi baada ya kuwa ime-expire baada ya siku 30 za majaribio. Nimejaribu kufuata taratibu za kucrak lakini hakuna kitu, nimejaribu ku-uninstall na ku-install mara kibao lakini wapi, kila nikiweka inaniletea kaprompt kwamba siku 30 zimekwisha. Plse help

Hilo tatizo linatokea sababu program imefutwa lakini entries zake za zamani bado zipo kwenye registry. Kwa hiyo hata ukisimika lupya zinatumika resgitry entries zile zile za zamani

Nini cha kufanya

  • Manualy futa entries za registry kwa kufuata hizi hatua ( try thisif you are atleast an itermediate technical comuter user

1.bofya Start button then select RUN, kwenye kibox type this simple neno: REGEDIT then bofya enter
2. chaguafolderla Hkey local machine then ndani yake chagua folder la software
3. Tafuta folder la internet download manager au IDM . Lifutilie mbali folder hilo kwa kuright click then chagua delete

Kucheza na regsitry manualy ni risky so pogram kama hii itafanya kazi ya kuondoa key zote za prgram iliyofutwa na kubaki
...Forced Uninstall Revo Uninstaller Pro has a very powerful feature called Forced Uninstall. This feature allows you to remove leftovers of programs that are already uninstalled, incomplete installations and uninstall remnants of programs! It does not matter if the program, you want to remove, is not listed in Revo Uninstaller Pro or in Windows Add/Remove Programs Control Panel applet. Forced Uninstall gives power to the user but still keeps the safety and the accuracy of the results.
 
Ok kwanza pole sana na kuangika na hili tatizo ya somtimes inasumbua sana kama haujui whats the rite step to take sasa fuatana namii step by step na utafanikiwa... Kwanza unatakiwa uwe na Right and working patch for the current idm version ulionayo.. kama Mtazamaji alivo explain ku unistall na ku install tena wont help cause the registry keys au records zinabaki pale pale kuwa umetumia 30days na haujalipia na hauwezi tumia trial tena.. well lets do this...

Kwanza nakushauri udownload the latest version ya idm ambayo ni v. 6.10 build 2 Mar /16/ 2012

Kama hauna hii version.. unistall kabisa version ya idm ambayo unayo then download hii version direct kutoka hapa:

http://mirror2.internetdownloadmanager.com/idman610.exe

Then ukishaidownload.. install it.. ita install then italeta message kuwa trial period imeisha lazima ununue.. blah blah.. don't worry exit au close izo messages na haikisha idm hairun kabisa then download hizi patch ziko mbili moja utatumia only kufuta zile registry za mwanzo.. kama haukufanikuwa mpaka now kufuta izo keys cause Mtazamaji kaelezea vizuri sana au kama umeona risk then do the following:

Download na extract mafile nitakayo attach...

Kama ukiextract na antivirus yako iakadetect kama threat then zima A-V yako kwanza Coz hii sio THREAT

na extract tena.. utakuta mafile matatu ndani kwanza open.. Oh and kama utaumia Win Vista/ Win 7 lazima u rite click

it na chagua run as administrator...

Fungua kwanza... Use this Only to clear registry.exe then click Clear Previous Registration... ikimaliza exit iyo tool..

Then fungua IDM only workin patch for v.6.10xxx.exe

Click Patch then italeta sehemu ya kufill Fname jaza jina lolote la Kwanza.. same pia katika Lname.. then itasema

patch done.. sasa ukifungua ur idm ile message haitatokea tena na 100% registered.. ENJOY :poa
 
Back
Top Bottom