Wataalam wa computer umizeni kichwa hapa

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Laptop yangu aina ya compaq 610 inatabia ya kukataa software mbalimbali,nyingine niki install zinakubali na zinafanya kazi ila nikirestart tu pc kosa zinaleta error.Mwanzoni nilizani tatizo ni window(window7) nikajaribu kuirudisha windows vista ambayo ndo niliikuta kipindi nimenunua pc bado tatizo ni lilelile.Naomba mnijuze tatizo linaweza kuwa lipi coz virus pia sio tatizo nna updated antivirus.
 
Itakuwa ni Virus, nakushauri tuamia Kaspersky ORIGINAL sio ya kichina, au McAfee Anti Virus.
 
Pole sana, Information ulizotupatia ni chache. Tunahitaji kujua ni software zipi umeinstall zikafanya kazi na baadae zikakataa. Hii itasaidia kujua kama laptop yako iko compartible na kama ina uwezo wa kuzihifadhi. Je computer yako inainstall updates kama kawaida? Je hiyo operating system ni genuine au umetumia remove WAT. Tunahitaji kujua your RAM, storage capacity and how much is free nk.
 
Thanks,but hawa ni virus wa aina gani wasiosikia hata nikiformat kompyuta?

Inawezekana hizo software zako ndio zina virus kwa hiyo hata ukifornat ni bure tu kama ukiziinstall, au inawezekama OS yako ina virus kama sio Software zako.
 
Virus hao! Hakuna haja ya kuumiza kichwa!

Naomba Nitofautiane na wewe(King Kong III)! Maelezo aliyoyatoa muuliza swali ni mafupi mno! Wachangiaji waliopita hapo juu wametoa mwongozo mzuri sana kwake. Inasikitisha jinsi ambavyo majibu ya mkato yanavyotolewa na vile vile wanaotaka kusaidiwa wasivyotaka kusaidiwa. Kama mtu anaweza kupata muda kuandika tatizo lake hapa, kwanini asipate muda wa kujibu maswali ya wataalamu wanaotaka kumsaidia?
 
Laptop yangu aina ya compaq 610 inatabia ya kukataa software mbalimbali,nyingine niki install zinakubali na zinafanya kazi ila nikirestart tu pc kosa zinaleta error.Mwanzoni nilizani tatizo ni window(window7) nikajaribu kuirudisha windows vista ambayo ndo niliikuta kipindi nimenunua pc bado tatizo ni lilelile.Naomba mnijuze tatizo linaweza kuwa lipi coz virus pia sio tatizo nna updated antivirus.

Embu jaribu angalia kama wndow unazo weka ni 64 bits au 32 mana kama ni 64 afu we ukaweka software ambayo ni ya 32 lazima ikugome. Mtazamo wangu 2
 
Nashauri kama wewe huna utaalamu wowote wa computer basi usijifunzie ktk laptop yako kama unaipenda maana tayari huyo ni mgonjwa anahitaji kumuona dakitari na hiyo ndiyo solution. Yawezekana ni hardware related problema (eg memory) au BIOS related, au virus. Kumbuka virus wana wigo mpana sana hivi sasa, ndani yake kuna worms, hardaware na malware hivyo lazima uwe na sophisticated intelligent antivirus software kama Dr web na NOD32 internet security ndo unaweza kuwakamata hawa. Kaspersky ina mapungufu haioni worms mfano 'autorun' ambaye hushambulia tokea kweye Bootsector ya Hdd, Flash drv, Ext. Hdd au Memory.
 
Pole sana, Information ulizotupatia ni chache. Tunahitaji kujua ni software zipi umeinstall zikafanya kazi na baadae zikakataa. Hii itasaidia kujua kama laptop yako iko compartible na kama ina uwezo wa kuzihifadhi. Je computer yako inainstall updates kama kawaida? Je hiyo operating system ni genuine au umetumia remove WAT. Tunahitaji kujua your RAM, storage capacity and how much is free nk.

Asante kwa ur response,sory kwa kuuliza swali na kupotea mkuu kuna sababu zilizo nje ya uwezo wangu zilisababisha hivi.
-window ni genuine
-baadhi ya software zinazogoma ni Wamp server,vodacom modem soft,Adobe photoshop,Dreamweaver.
-RAM 2GB
-HD 250 GB
- Processor 1.8ghz duo
-inainstall updates
 
Inawezekana hizo software zako ndio zina virus kwa hiyo hata ukifornat ni bure tu kama ukiziinstall, au inawezekama OS yako ina virus kama sio Software zako.

mkuu hizohizo software niki-install kwenye pc nyingine zinakubali bila matatizo
 
Nashauri kama wewe huna utaalamu wowote wa computer basi usijifunzie ktk laptop yako kama unaipenda maana tayari huyo ni mgonjwa anahitaji kumuona dakitari na hiyo ndiyo solution. Yawezekana ni hardware related problema (eg memory) au BIOS related, au virus. Kumbuka virus wana wigo mpana sana hivi sasa, ndani yake kuna worms, hardaware na malware hivyo lazima uwe na sophisticated intelligent antivirus software kama Dr web na NOD32 internet security ndo unaweza kuwakamata hawa. Kaspersky ina mapungufu haioni worms mfano 'autorun' ambaye hushambulia tokea kweye Bootsector ya Hdd, Flash drv, Ext. Hdd au Memory.

yap mkuu nakubaliana na wewe,unayoyasema inaweza kuwa ndo yanayoisibu pc yangu.Computer ni mtaalam kdogo ila hiyo problema imenitoa nduki thats y nikaamua kushare kwa wadau
 
Naomba Nitofautiane na wewe(King Kong III)! Maelezo aliyoyatoa muuliza swali ni mafupi mno! Wachangiaji waliopita hapo juu wametoa mwongozo mzuri sana kwake. Inasikitisha jinsi ambavyo majibu ya mkato yanavyotolewa na vile vile wanaotaka kusaidiwa wasivyotaka kusaidiwa. Kama mtu anaweza kupata muda kuandika tatizo lake hapa, kwanini asipate muda wa kujibu maswali ya wataalamu wanaotaka kumsaidia?

sory kaka sikukusudia kutoweka
 
jamani namimi natatizo moja la laptop yangu hp pavallion nc6000 hii? nikiwasha laptop inawaka taa za batani tu na kwenye screen hakuna mawasiliano yeyote na feni ya cpu inawaka nakukata inaleta mchezo wa kujiwasha na kujizima tatizonini nisaidiene kwenye hardware ni check nini hapo
 
ni hivi inaonekana hiyo mashine yako ni 64bits alafu wewe unaistall software za 32 bits,so nakushauri ujue mashine yako kama ni 64bits au 32bits then tukusaidie.
 
ni 64bits,software nazoweka ni current1

Skia mwana software kuwa current sio tatzo. We umesema mashne yako ni 64 bits tafuta software yako ambayo nayo ni 64 bits.mana software ziko za 32 bits na 64 bits pia .download version ya 64 afu instal
 
ni hivi inaonekana hiyo mashine yako ni 64bits alafu wewe unaistall software za 32 bits,so nakushauri ujue mashine yako kama ni 64bits au 32bits then tukusaidie.

cha ajabu zaman nilikuwa natumia software hizohizo kwa pc hiihii,hilo tatizo limeibuka karibun tu
 
Skia mwana software kuwa current sio tatzo. We umesema mashne yako ni 64 bits tafuta software yako ambayo nayo ni 64 bits.mana software ziko za 32 bits na 64 bits pia .download version ya 64 afu instal

oky poa mkali ntajaribu kulifanyia uchunguz hilo
 
jamani namimi natatizo moja la laptop yangu hp pavallion nc6000 hii? nikiwasha laptop inawaka taa za batani tu na kwenye screen hakuna mawasiliano yeyote na feni ya cpu inawaka nakukata inaleta mchezo wa kujiwasha na kujizima tatizonini nisaidiene kwenye hardware ni check nini hapo

Inawezekana virus wamekula boot-files,kama wamekula hizo files pc haiwez kuboot so kama una cd ya os husika jaribu kurepair window,kama tatizo litaendelea hapo huna budi kupiga chini window
 
Back
Top Bottom