Wastaafu tunaungana kupinga sheria na Kanuni mpya ya mafao ya mwaka 2018 Mahakamani

Napendekeza wafanyakazi wote wa serikali Tanzania waandamane kupinga hii sheria Pingamizi
 
Hii sheria itaanza kutumika kwa wastaaf wa mwaka gani maana mzee wangu kastaaf june mwaka huu km akiskia hii taarifa na hili rungu likimhusu anaweza kufa kwa presha kwa mipango aliyopanga
 
Kuendelea kufanya kazi huku ukiwa unajua kabisa pesa zako za pensheni hutakuja kuzipata ni zaidi ya ufala.
 
Suala la mahakamani,
Alternative no - 1

Alternative no - 2
kuwanyima kura wabunge waccm kwa nguvu zote tulinde matokeo

Wakabadilishe za rais maana yeye watabadilisha tume huko makao mkuu

Za wabunge tunazihesabu huku huku majimboni tutawamudu, hakuna kuiba

Alternative no - 3
Tujipange kushughulika na wabunge mmoja mmoja, haiwezekan, yeye achukuwe haki yake yote 100% kwa miaka mitano, halafu atunyime haki yetu wafanyakazi tuliosota 35yrs
-tufe kwa pressure
-watoto wetu wasisome, wa mbunge waneemeke
-tuishi kwa taabu na manyanyaso ilhahali haki yetu inaliwa na wabunge

Kwa kuwa wao wabunge wameamua kutupangia matatizo ni vema kabisa tujipange kuwatia adabu, iwe mmoja mmoja au chama chao kuwanyima kura nasisi tuwatengenezee matatizo wafe haraka kama sisi
Katika hali ya sasa unaamini kabisa DEDs watatangaza kushindwa kwa mgombea wa CCM?

Vv
 
Nakumbuka kwenye Mjadala huu bungeni zitto Kabwe aliongea sana mpaka anataka kulia.

Aliambulia kutukanwa na kuonekana mjuaji. Leo naona tunaanza kuongea lugha moja.
Pia alilamika sana bungeni marehemu Mh. Bilago wabunge wa CCM wakamwambia anahangaika bure.
 
Katika hali ya sasa unaamini kabisa DEDs watatangaza kushindwa kwa mgombea wa CCM?

Vv

Usifananishe uchaguzi mkuu na huu wa akina waitara

Uchaguzi mkuu ni majimbo mangapi na tunavituo vingapi vya kutangaza matokeo

Ifike wakati kudhibitiana hasa idadi ya Askari itakapopwaya.
 
Sheria hii ni wizi na ujambazi wa Serikali dhidi ya watumishi.Kimsingi mafao ni malimbikizo ya michango mtumishi na mwajiri,kwa ufupi ni matokeo ya mishahara ya mtumishi.Kanuni ya kutoa 25% ya mafao kwa mkupuo na 75% serikali kubaki nazo kwa sababu nyepesi kama matumizi mabaya ya wastaafu ni sababu za ovyo .Tukutane mahakamani na Serikali kupinga Sheria hii ya ujambazi.Tunataka sheria na Kanuni za zamani zitumike ,ziwe adopted na Pssf na Nssf.hatutaki ujinga sisi.
Sheria ya kigasHow
 
Ni kweli Watanzania kwa kushirikiana na wafanyakazi wote tuipinge hii sheria kandamizi. Tunataka sheria na Kanuni za zamani zitumike.
 
mahakamani lazima watasimamisha hii sheria, kule bado wachache wapo wanatumia akili zao siyo kushikiwa kama akina Ndugae.
 
Sheria hii ni wizi na ujambazi wa Serikali dhidi ya watumishi.Kimsingi mafao ni malimbikizo ya michango mtumishi na mwajiri,kwa ufupi ni matokeo ya mishahara ya mtumishi.Kanuni ya kutoa 25% ya mafao kwa mkupuo na 75% serikali kubaki nazo kwa sababu nyepesi kama matumizi mabaya ya wastaafu ni sababu za ovyo .Tukutane mahakamani na Serikali kupinga Sheria hii ya ujambazi.Tunataka sheria na Kanuni za zamani zitumike ,ziwe adopted na Pssf na Nssf.hatutaki ujinga sisi.
Wazo zuri sana. Fatma Karume chukua kesi hii haraka sana, onesha uzalendo. Serikali imegeuka jambazi dhidi ya raia wake.
 
Hivi hao wanaotengeneza hizo Sheria wao haziwahusu au wana namna ya kuzikwepa sababu naona kama wanawatungia wengine!!!
Mkuu huwa siwaelewi hawajifunzi tu kwenye sheria ya FAO la kujitoa wengine walitumbuliwa nadhani mafao hawa japata
 
Usifananishe uchaguzi mkuu na huu wa akina waitara

Uchaguzi mkuu ni majimbo mangapi na tunavituo vingapi vya kutangaza matokeo

Ifike wakati kudhibitiana hasa idadi ya Askari itakapopwaya.
Adolay, hizi chaguzi ndogo ni mkanda wa negative wa uchaguzi ujao, amini nakwambia ktk uchaguzi ujao idadi ya wapinzani wataoshinda itapungua; kwanza kwa mizengwe ya wakurugenzi wa Halmashauri, pili kwa kuwa idadi ya wataoenda kupiga kura itapungua sana lkn itafidiwa kwa kura hewa nyingi kama ilivyokuwa kwenye chaguzi ndogo, tatu kwa sababu ya uminywaji wa haki za kidemokrasia kama ilivyo sasa.

Uxhguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu utathibitisha hayo nikwambiayo.

Vv
 
Awe judge au hakimu wote ni wahanga wa sheria hii! Kwa vyovyote hawatawaangusha wastaafu labda apelekewe yule mkwe!
Hivi unamfahamu Mtanzania kweli,haya bwana, tusiandikie mate wakati wino tunao.Tusubiri,time will tell.
 
huu mfumo wa awamu ya tano wanataka pesa za haraka sn bila kujali wangap wanaumia, nawashangaa sn cjui huu.mfumo wamecopy wap?, aliyemweka huyu atutolee, Tz ni nchi nyepes sn kutawala, ila kwa hili sasa wanatutia vidole vya macho
 
Inasikutisha sana kuona sheria ya kishenzi kama hii inapitishwa na watu (wabunge) ambao baada ya miaka 5 tu ya ubunge wao wanalipwa kwa mkupuo kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 200!

Hapa ndipo wananchi mnapaswa kujua ccm ni majambazi hawafai. Wabunge wa ccm ndio wanapitisha wizi huo , kuwatapeli wafanyakazi waliofanya kazi kwa miaka 30, aibu kwao wabunge wa ccm.
 
Back
Top Bottom