Anasema Watanzania wana umoja. Kazi yake na serikali ni kuimarisha umoja. Kuhakikisha kuwa dini haiwagawi Watanzania.
Nilikuwa namsikia tu huyu hapa jamvini. Sasa leo nimeamua kumsikiliza, na yote niliyoyasoma humu yamekuwa proven right. I am switching off to another channel, better watch NHK Japan and hear about the tsunami!!Wassira amekuwa mpumba mkuu siku hizi; akishika maiki tu basi ni pumba tupu zinazotoka hapo.
ni recorded mkuu, anajiuliza maswali mwenyewe, kuna mwandishi kamuandikia maswali, maswali yenyewe ni ya kjngjng tukuna nini hivyo kila sku wao na tv. Hawana kazi? Anaruhusu maswali ya kupigiwa simu?