Wassira amezeeka, angalia mahojiano na Star TV sasa hivi, kachoka!

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Wadau hebu fuatilieni huyu mtu anayejiita rais mtarajiwa,nimeona clips za promo yaani kachoka na ni dhahiri ni kikongwe
 
Mbatia anaweza kutuambia ni lini huyu babu alirudisha kadi ya NCCR? Yaani ana mvi mpaka kwenye ndevu
 
Sipati picha hilo bango lenye picha yake litakavyokimbiza watoto wetu mitaani!
 
Vile vituko vya waheshimiwa mawaziri wa JK vinaendelea. Safari hii Waziri (0R) Sera, Mahusiano na Bunge; S.Wassira anadai wahadzabe wapo wilayani Hanang'. Jamani kwa kiongozi anayemsaidia Rais kutojua hata wilaya za Tanzania inatia kichefuchefu. Ina maana angekuwa anahojiwa na CNN au BBC na kurekebishwa - but Mr. Minister, hadzabe people live along lake Eyasi in the valley shared by Mbulu Karatu and Mkalama districts. Je aibu ni ya nani? Tafuteni taarifa ndugu waheshimiwa.

Mh.anahojiwa sasa hivi Star T.V.
Halafu watu wa Star T.V wekeni camera zenu vizuri, Mnachukua picha toka chini, hivyo mh. anaonekana kama jitu lenye umbo baya sana, jaribuni kuweka camera nyuzi 180 to the object. ila ni vizuri mmetumia rangi ya magenta kurusha kipindi hiko
 
Majimbo mengi mkoa wa mara yana viongozi vijana isipokuwa wasira na mkono,wana bunda amkeni
 
Jamaa hajachoka, sema sura yake ndiyo ilivyo,

Mimi huwa nafikiria siku nikutane nae njiani halafu ukute hamna mtu mwingine anakatiza hiyo njia nitatokaje nduki hivi yuko na mrs kweli manake ile sura ni soo
 
Ndo wilaya yenye pato dogo zaidi mkoani mara

Nimemsikia anasema eti kasomea uchumi,sasa mwanauchumi kashindwaje kuisaidia wilaya?ila kwa kweli kazeeka mpaka ndevu zina mvi,aangalie na kitambi,kinakata vishikizo
 
Back
Top Bottom