Wassira ahusisha sakata la bandari na mbio za urais 2025

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,470
11,197
Hello JF,

Hivi Wassira ni mwehu kiasi hicho? Kuna mtu alimlazimisha Rais Hassan kumtuma Mbarawa kwa maandishi? Timu ya wabunge kwenda Dubai ilijipeleka? Wasanii walijipeleka, bendera ya Tanzania ilijipandisha kule Dubai.

Wassira awe makini sana uvuvuzela wake hautawasaidia chochote ifahamike Tanganyika yetu itarudishwa 2025, Rais Hassan hata afanyaje yeye ni Rais wa mpito wassira atake asitake ndio hivyo.

Huwezi kukaa ikulu kibahati bahati halafu uharibu mipango ya wanaostahili hio haipo malizieni mpito wenu muondoke.

Hii agenda ya 2025 kivyovyote vile hamtashinda kamwe ya Magufuli kuokota ember chini ya mnazi hayatajirudia.

Marais wa kuingia ikulu kimazabe mwisho 2025.

CCM chama lao na kwanzia mwakani 2024 nyie wa mpito mtajamba sana. Endeleeni kunywa huo urojo. CCM chama la wenyewe na Kwa sasa wanachora ramani na mipango ardhini, angani na popote pale.

CCM haitafanya makosa tena ifahamike hivyo na itakuwa hivyo.

Wassira awe makini sana. Piganeni vita ya 2025 na upumbavu wa bandari ni ushuzi wenu wenyewe wanywa sharubati.

Ni hayo tu.
Habari kamili gazeti la mwanachi. (Taarifa ya Janeth Mushi)

Wadiz ndio mimi.
 
Mwalimu Nyerere alihitimisha shairi lake kwenye Kitabu chake Cha UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Anasema" ole wake Tanzania msipoisaidia Nifanyalo nimeliweza kumshauri na KUONYA, zaidi nifanye nini?????

Namlilia Jaalia Tanzania asije KUMIACHIA.
JK Nyerere.
IRP MWALIMU.
 
NYERERE LICHAMA ULILOLIANZISHA LIMELETA KUZIMU KWENYE TAIFA LETU PENDWA.

TAIFA LIPO GIZANI.
NCHI INAPUMULIA MASHINE ICU.
UMOJA WA KITAIFA UMEKUFA.

TUNU ZA TAIFA ZIPO KABURINI
 
Back
Top Bottom