Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

Taarifa nilizopata kutoka Dodoma Muda huu naambiwa kuwa zaidi ya wanafunzi 100 kutoka vyuo vikuu Dodoma wameandamana kimya kimya na wamejaa nyumbani kwa Lowassa mjini Dodoma wakimshawishi agombee Urais 2015.

Naambiwa ni watu ni wengii hatari na wakiulizwa wanasingizia kuna msiba.

Barabara zimefungwa maeneo hayo ya Area D.

mkuu hakuna kitu ka hicho mm niko hapa area d maeneo ya site one au sengia bar hakuna watu hao na hamna barabara iliyofungwa kwa ajili ya hao wapuuz wachache uvccm wanaojiita wasomi
 
Mungu awape nguvu zaidi ndg zangu wanafunzi,bado na sisi wafanyabiashara tunajiandaa kukutana Dodoma toka mikoa yote.
 
Baba wa taifa aliwahi kusema mtu anayetumia gharama nyingi za pesa kusaka madaraka hafai kuwa kiongozi anatakiwa kuogopwa kama ukoma au Ebola.
 
Mungu awape nguvu zaidi ndg zangu wanafunzi,bado na sisi wafanyabiashara tunajiandaa kukutana Dodoma toka mikoa yote.

Mnakutana kwenda kufanya nini kumpa moyo huyu fisadi mwenzenu agombee uraisi wa manzese?
 
Hamuwezi kuamini ila ukweli ni kwamba majina ya wanafunzi yanaorodheshwa kwa wale wanaomuunga mkono kwa ahadi ya ajira nzuri baada ya kupata nafasi hiyo. Hii ni hatari sana kwa taifa hili,huyu jamaa ufisadi upo kwenye damu, na hii ni rushwa ya wazi wazi lkn hakuna wa kumgusa.
 
ccm wasipomsimamisha lowasa watapotea maana ndo mgombea wa ccm ambaye watu wanajifanya wehu

Nafurahi sana mnapoona magamba ya ccm mmeshaanza kupasuka vipande vipande kabla hata mgombea wa uraisi hajatangazwa na chama cha mafisadi ccm.lakini mtahangaika bure raisi ajaye atatoka nje ya ccm
 
Taarifa nilizopata kutoka Dodoma Muda huu naambiwa kuwa zaidi ya wanafunzi 100 kutoka vyuo vikuu Dodoma wameandamana kimya kimya na wamejaa nyumbani kwa Lowassa mjini Dodoma wakimshawishi agombee Urais 2015.

Naambiwa ni watu ni wengii hatari na wakiulizwa wanasingizia kuna msiba.

Barabara zimefungwa maeneo hayo ya Area D.

Haya maigizo tumeyachoka sasa! Halafu mleta uzi badilisha heading.
Tofautisha wasomi na wanafunzi wa chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom