CCM ama popote lowasa anaweza kupita.Anagombea kupitia chama gani?
Wamepewa kibali cha kuandamana?
Najaribu kupiga picha watu buku nane! Si mchezo hizo barabara sina hakika.
Nahisi kukuzwa kwa ukweli kwa mbaaaaaaaaaali
naomba nitake radhi mi siyo gambaNafurahi sana mnapoona magamba ya ccm mmeshaanza kupasuka vipande vipande kabla hata mgombea wa uraisi hajatangazwa na chama cha mafisadi ccm.lakini mtahangaika bure raisi ajaye atatoka nje ya ccm
Taarifa nilizopata kutoka Dodoma Muda huu naambiwa kuwa zaidi ya wanafunzi 100 kutoka vyuo vikuu Dodoma wameandamana kimya kimya na wamejaa nyumbani kwa Lowassa mjini Dodoma wakimshawishi agombee Urais 2015.
Naambiwa ni watu ni wengii hatari na wakiulizwa wanasingizia kuna msiba.
Barabara zimefungwa maeneo hayo ya Area D.
Hii kitu inaonekana kama iko 'staged' hivi.
Kwani hata ccm huwa mnaomba vibali vya kuandamana?