Tuliambiwa Tyson kaangukia pua humu
mkuu,
kuna watu wako hapa kudanganya, inasikitisha sana. Wanachanganya vichwa vyetu bure!
Matokeo ubunge Bunda ni kama ifuatavyo:
CCM wamepata kura 27305
Chadema wamepata kura 12572
Kwa hiyo Stephen M. Wasira ameshinda jimbo la Bunda kwa asilimia 68
Habari ndio hiyo!
Jamani nini hii..tunaomba habari za kweli...mnataka tuache kuliamini hili jamvi..?
wewe ni muongo kwanza huna hata aibu tangu mwaka 2007 your still a juniour member...grow up...!:A S angry::nono:
wewe ni muongo kwanza huna hata aibu tangu mwaka 2007 your still a juniour member...grow up...!:A S angry::nono:
Duh, mbona habari nilizopata toka Bongo kuwa Wasira kaangua?
Stephen Masato Wasira Ameshinda, wenye wivu mjinyonge
.
Mkuu, sina wivu na mzee Wasira kwani ni wangu na mwanaye ni mshikaji hivyo acha kuganga njaa hapa...Duh, mbona habari nilizopata toka Bongo kuwa Wasira kaangua?
Stephen Masato Wasira Ameshinda, wenye wivu mjinyonge
.