Elections 2010 Wasira ashinda kwa kishindo

Wanzagi

Member
Nov 2, 2007
95
13
Matokeo ubunge Bunda ni kama ifuatavyo:

CCM wamepata kura 27305
Chadema wamepata kura 12572

Kwa hiyo Stephen M. Wasira ameshinda jimbo la Bunda kwa asilimia 68

Habari ndio hiyo!
 
wewe ni muongo kwanza huna hata aibu tangu mwaka 2007 your still a juniour member...grow up...!:A S angry::nono:
 
Jamani nini hii..tunaomba habari za kweli...mnataka tuache kuliamini hili jamvi..?
 
Matokeo ubunge Bunda ni kama ifuatavyo:

CCM wamepata kura 27305
Chadema wamepata kura 12572

Kwa hiyo Stephen M. Wasira ameshinda jimbo la Bunda kwa asilimia 68

Habari ndio hiyo!

Nimeweza kuthibitisha hizi habari toka Bunda on the ground. Hivi punde, Tume ya Uchaguzi Jimbo la Bunda na hakuna dispute zozote kama ambavyo imevumishwa JF
 
Invisible na team, hebu shughulikeni na waleta masikhara. Hapa sio kiu wala ijumaa alaa. Muda mzuri wa kupiga BAN watu wanaochezea akili za watz
 
Wanaoleta taarifa feki wajinga sana. Tafadhali invisible, tuondolee mtu anayeleta fununu badala ya data kamili.
 
tuatakimbiana hapa, huko arusha naskia watu wamesema kama kura zitachakachuliwa basi na wao watachakachuana sura zao kwa virungu na polisi
 
Jamani nini hii..tunaomba habari za kweli...mnataka tuache kuliamini hili jamvi..?

Duuh hii imenisikitisha sana, mfano ungine ni vile jimbo la Arusha mjini isivyojulikana ukweli ulipo. Mara Lema anakataa kusign mara Batilda, ukiwa nje ya nchi na unategemea hili jamvi "I think you need to wait until the final results are announced"

Ngoja nikahangaike!

Njimba
 
wewe ni muongo kwanza huna hata aibu tangu mwaka 2007 your still a juniour member...grow up...!:A S angry::nono:

lol.

Sasa kuwa junior member ndio maana yake nini? It doesn't matter, as long as habari ni za ukweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom