tocolyitics
Member
- Feb 5, 2012
- 76
- 35
mh angeanza kwa kukemea halafu aongee hilo
yah, kwani makanisa ndo yameleta muungano? au anamaanisha makanisa ni ya tanganyika? basi misikiti yote iliyoko tanganyika tuichome.
mh angeanza kwa kukemea halafu aongee hilo
Tuondoe Nishati katika mambo ya Muungano tuone Umeme Watapata wapi
Mufti Simba;
Asalam Aleikukum
Ninavyoelewa mimi hawa Ndugu wa UAMSHO & CO. wamepewa Sikio kubwa sana na Serekali ya Mapinduzi na ndio maana waliweza kuunda huo umoja na ukasajiliwa.
Na wakaweza kuzishawishi jumuia nyingine zishiriki katika harakati zao.
Kwa bahati Mbaya ya makusudi kabisa walijibagua kwa kushirikisha jumuia za KIISLAMU tu. Na walipewa UHURU wa kufanya Makongamano, Mikutano yahadhara na Mihadhara.
Pamoja na Lugha chafu na Vitisho vilivyofikia kumpa ULTIMATUM Rais SHEIN, bado Serekali Ilikuwa na subira ya hali ya juu na Wanaharakati hao.
Siku moja kabla ya Matukio Viongozi wa Serekali walichukua hatua MUHIMU sana ya kuwaita viongozi wa UAMSHO &CO. na kuwatahadharisha wazingatie taratibu na sheria za Nchi.
Siku ya tukio POLISI wakifanya kazi yao, walimchukua Kiongozi mmoja wa UAMSHO &CO. na hilo likazusha yaliyotokea.
Matokeo hayo yanathibitisha kuwa:
1. Uamsho & co. Hawana Action Plan.
2. Ungozi hauna mamlaka kwa Wafuasi.
3.Wafuasi hawajui HASA malengo na madhumuni ya Uamsho & co.
4.Uamsho ni Chama chenye malengo ya Kisiasa
Kinachojificha Nyuma ya bango la DINI na Kero za Muungano.
Kuna mengi mazuri UAMSHO & CO. waliyoyazungumza ambayo yangetiwa katika Action Plan na Kufanyiwa kazi bila shaka wangekuwa wamefikia hatua fulani inayoeleweka.
Bado nafasi mnayo msifanye mambo kizamani. Hakuna Mwarabu atakaewapignaia wenyewe wamebanwa na Wazungu hawafurukuti.
Mufti wa Tanzania, sheikh Mkuu Issa bin Shaaban Simba, kilichotikea Zanzibar ni mambo ya siasa hivyo basi kama kuna Wanzanzibari hawautaki muungano wanastahili kusikilizwa ili kuepusha balaa.
Chanzo: Gazeti la Nipashe la leo
Huyu Mufti simwelewi hata kidogo, hawa magaidi wanaojiita UAMSHO ambao hawana tofauti na Al Qaeda, wana hadhi gani ya kusikilizwa?
Oahh
Hata wale wazee wa pickup wa libya walisikilizwa na umoja wa kimataifa, tena wengine walishawahi kutiwa nguvuni wakiwa na connection na al-qaeda. Hata wale al-qaeda wachache wanaosumbua kule syria wanasikilizwa na umoja wa kimataifa.
Tuwe na tabia ya kuwasikiliza binadamu wengine.
wamesikilizwa ndio maana wakapigwa mabomu! Wewe unafikiri Polisi waliamka overnight wakaanza kurusha mabomu bila kufikiri? Kwa hiyo haiwezekani kusikilizwa mara ya pili maana agenda yao imeshajulikana si Muungano bali ni Ukristo na Makanisa!
Mufti Simba;
Asalam Aleikukum
Ninavyoelewa mimi hawa Ndugu wa UAMSHO & CO. wamepewa Sikio kubwa sana na Serekali ya Mapinduzi na ndio maana waliweza kuunda huo umoja na ukasajiliwa.
Na wakaweza kuzishawishi jumuia nyingine zishiriki katika harakati zao.
Kwa bahati Mbaya ya makusudi kabisa walijibagua kwa kushirikisha jumuia za KIISLAMU tu. Na walipewa UHURU wa kufanya Makongamano, Mikutano yahadhara na Mihadhara.
Pamoja na Lugha chafu na Vitisho vilivyofikia kumpa ULTIMATUM Rais SHEIN, bado Serekali Ilikuwa na subira ya hali ya juu na Wanaharakati hao.
Siku moja kabla ya Matukio Viongozi wa Serekali walichukua hatua MUHIMU sana ya kuwaita viongozi wa UAMSHO &CO. na kuwatahadharisha wazingatie taratibu na sheria za Nchi.
Siku ya tukio POLISI wakifanya kazi yao, walimchukua Kiongozi mmoja wa UAMSHO &CO. na hilo likazusha yaliyotokea.
Matokeo hayo yanathibitisha kuwa:
1. Uamsho & co. Hawana Action Plan.
2. Ungozi hauna mamlaka kwa Wafuasi.
3.Wafuasi hawajui HASA malengo na madhumuni ya Uamsho & co.
4.Uamsho ni Chama chenye malengo ya Kisiasa
Kinachojificha Nyuma ya bango la DINI na Kero za Muungano.
Kuna mengi mazuri UAMSHO & CO. waliyoyazungumza ambayo yangetiwa katika Action Plan na Kufanyiwa kazi bila shaka wangekuwa wamefikia hatua fulani inayoeleweka.
Bado nafasi mnayo msifanye mambo kizamani. Hakuna Mwarabu atakaewapignaia wenyewe wamebanwa na Wazungu hawafurukuti.
Huyu Mufti simwelewi hata kidogo, hawa magaidi wanaojiita UAMSHO ambao hawana tofauti na Al Qaeda, wana hadhi gani ya kusikilizwa?
Ondosha pumba zako za kipuuzi hapa, hata iwe UAMSHO ina malengo ya kidini, au ya kisiasa basi wako right kwani wao si ni Wazanzibari au hawana haki ya kuzungumza juu mustakbal ya Z'bar yao, kwanza kajifunze kutamka hiyo "Asalam Aleikukum" alafu utuletee ubinafsi wako hapa na chuki zako za umbumbu.
Hata Mtatiro, Shekh Simba kaliona kuwa ni la kisisa zaidi lakini nyinyi vifuu tundu mnavujisha tuuu hamtaki kuelewa.
Binafsi siamini kama kuna muislam kachoma kanisa maana sio tabia ya waislam.
Ila swala la kulipwa fidia na serikali ya jamuhuli sidhani kama ni issue kwa kuwa kila mwezi serikali hutoa pesa kuasaidia makanisa (MOU) sasa wakiongeza kidogo kucover uhalibifu walioufanya wenyewe sio issue.
Niwakumbushe wanaosema kuna UDINI bongo: Maaskofu walipolalamikiwa kuiunga mkono CHADEMA walitoa kauli kuwa hakuna UDINI.
DINI ni business wajameni.
By: Tume ya katiba (cert. primary education)