mufti wa tanzania, sheikh mkuu issa bin shaaban simba, kilichotikea zanzibar ni mambo ya siasa hivyo basi kama kuna wanzanzibari hawautaki muungano wanastahili kusikilizwa ili kuepusha balaa.
Chanzo: Gazeti la nipashe la leo
Mufti Simba;
Asalam Aleikukum
Ninavyoelewa mimi hawa Ndugu wa UAMSHO & CO. wamepewa Sikio kubwa sana na Serekali ya Mapinduzi na ndio maana waliweza kuunda huo umoja na ukasajiliwa.
Na wakaweza kuzishawishi jumuia nyingine zishiriki katika harakati zao.
Kwa bahati Mbaya ya makusudi kabisa walijibagua kwa kushirikisha jumuia za KIISLAMU tu. Na walipewa UHURU wa kufanya Makongamano, Mikutano yahadhara na Mihadhara.
Pamoja na Lugha chafu na Vitisho vilivyofikia kumpa ULTIMATUM Rais SHEIN, bado Serekali Ilikuwa na subira ya hali ya juu na Wanaharakati hao.
Siku moja kabla ya Matukio Viongozi wa Serekali walichukua hatua MUHIMU sana ya kuwaita viongozi wa UAMSHO &CO. na kuwatahadharisha wazingatie taratibu na sheria za Nchi.
Siku ya tukio POLISI wakifanya kazi yao, walimchukua Kiongozi mmoja wa UAMSHO &CO. na hilo likazusha yaliyotokea.
Matokeo hayo yanathibitisha kuwa:
1. Uamsho & co. Hawana Action Plan.
2. Ungozi hauna mamlaka kwa Wafuasi.
3.Wafuasi hawajui HASA malengo na madhumuni ya Uamsho & co.
4.Uamsho ni Chama chenye malengo ya Kisiasa
Kinachojificha Nyuma ya bango la DINI na Kero za Muungano.
Kuna mengi mazuri UAMSHO & CO. waliyoyazungumza ambayo yangetiwa katika Action Plan na Kufanyiwa kazi bila shaka wangekuwa wamefikia hatua fulani inayoeleweka.
Bado nafasi mnayo msifanye mambo kizamani. Hakuna Mwarabu atakaewapignaia wenyewe wamebanwa na Wazungu hawafurukuti.
Mufti wa Tanzania, sheikh Mkuu Issa bin Shaaban Simba, kilichotikea Zanzibar ni mambo ya siasa hivyo basi kama kuna Wanzanzibari hawautaki muungano wanastahili kusikilizwa ili kuepusha balaa.
Chanzo: Gazeti la Nipashe la leo
Uislam kwanza amani baadaye