Wasifu wa Deo Filikunjombe

aaahhhaaaaa so?

Angalia sasa mzima huyu?

Nakumbuka kuna siku kina Wenje walitaka kutandika mingumi kwa unafiki wake......wakipinga kitu wenzie eti nyi CDM kazi yenu kupinga tu....dadeki mbona sasa na yeye anapinga?

Mwana CCM unae weza kumwamini ni yule aliyekufa!
 
Binadamu sio sawa na jiwe lisilotikisika wala kugeuka wala kukua
 
Deo; you dont deserve to be in wrong hands of CCM. We need you to liberate this country. Unfortunately you are in the wrong group. Come on we need you in Chadema
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?

Ka-CV kiduchu lakini kelele nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!
 
Ni bora uwe mbunge wa term moja na wananchi wakakukumbuka kwa ujasiri wako wa kuwatetea bila woga, kuliko kuwa mbunge wa vipindi vinne ukiwa bubu msubiri posho, maana hata siku ukitutoka ghafla tutasikitikia kifo chako si kusikitikia umuhimu wako bungeni.
 
Tofauti na siasa, huyu jamaa ana entrepreneurial spirit ya hali ya juu. Nimemkubali. Keep it Up Deo. Nail em Up
 
Ni bora uwe mbunge wa term moja na wananchi wakakukumbuka kwa ujasiri wako wa kuwatetea bila woga, kuliko kuwa mbunge wa vipindi vinne ukiwa bubu msubiri posho, maana hata siku ukitutoka ghafla tutasikitikia kifo chako si kusikitikia umuhimu wako bungeni.

well said
 
Wasifu wake unatosha....kifutacho ni kuchapa kazi siyo kwa maneno bali vitendo!

Actions Speaks Louder Than Words
 
N i mnafiki kama minafiki mingine ya CCM,inayodhani chama chao kitatawala milele!!
Na sasa anajifanya kufurukuta baada ya kuona nguvu ya CDM hashuki!
Hapa umepotea. Kuna watanzania wengi sana ambao ni member wa CCM wenye uwezo wa kiakili wa kukataa uhuni na ujinga. Yeye ni mmoja wao. Unahitaji kukisoma kitabu kuelewa kilichoma na epuka kuweka watu kwenye makundi. Umenisikitisha sana.
 
afadhali labda wewe atakuelewa
 
Back
Top Bottom