Wasifu wa Deo Filikunjombe

Ninawasiwasi na wasifu uliouandika mbona amewahi kufanya kazi pale kwenye majengo nyeti yaliopo baada ya kijiji cha makumbusho kijitonyama lakini hujasema?.
 
kama una uhakika weka wewe hapa CV yake unayoijua, huyu alifanya kazi kama askari POLISI na sio huko unapodhani wewe
 
Ni bora uwe mbunge wa term moja na wananchi wakakukumbuka kwa ujasiri wako wa kuwatetea bila woga, kuliko kuwa mbunge wa vipindi vinne ukiwa bubu msubiri posho, maana hata siku ukitutoka ghafla tutasikitikia kifo chako si kusikitikia umuhimu wako bungeni.

Kama wa jimbo letu la Temeke.. Yaani hatuna Mbunge.. Cijawahi kubahatika kumuona akichangia.. Zaidi ya kumuona kwenye sakata la ubadhirifu kwenye vitega uchumi vya jiji.. Juzi nimecikia kapata ajali alfajiri akiwa njiani kurudi Dar.. Wakati wenzie wanaendelea na Bunge yeye anakuja Dar..!
 
Ajiunge na team ya wapiganaji wenzie CDM
Chama cha Siasa ni kikundi cha watu chenye nia ya kuongoza kwa kutumia katiba. CCM ni chama kikichoundwa kwa kufuata katiba bora yenye misingi ya utu iliyomo kwenye Siasa zenye mtazamo wa Kisoshalisti. Tatizo lilopo kwenye CCM ni Uongozi mbovu unaotokana na mfumo wa kuwapata uliopo. CDM sio " Muarubaini" wa matatizo ya Watanzania bali ni mbadala wa sura na watu walio ndani ya CCM wasio na maadili. Ni makosa kufikira CDM kama Chama bora kuliko CCM kwa sababu ya kuwapima viongozi wake wachache ambao walichokifanya mpaka sasa ni kukosoa tu. Ondoa Mgando wa kimawazo wa kufikiria CDM ndio suluhisho ya matatizo yetu. Fikiri zaidi ya hapo.
 
Yes you should say more than that.

IMG_3819.JPG

Hivi hapa alikuwa anaomba kura au? kipi kilimsibu?

Kama wa jimbo letu la Temeke.. Yaani hatuna Mbunge.. Cijawahi kubahatika kumuona akichangia.. Zaidi ya kumuona kwenye sakata la ubadhirifu kwenye vitega uchumi vya jiji.. Juzi nimecikia kapata ajali alfajiri akiwa njiani kurudi Dar.. Wakati wenzie wanaendelea na Bunge yeye anakuja Dar..!

Poleni Mkuu
 
aliibukia pia issue ya Pantoni pale magufuli alipowataka wanakigamboni kupiga mbizi. alisahau kuwa Kigamboni ina mbunge wake
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?

Kwa Tanzania ya sasa, ni vigumu sana ukiwa magamba then uweze kupruvu kwamba wewe sio gamba! May b kajaribu lakini.....Tatizo uozo umemzunguka, Sijui Sijui labda ni msafi.
 
Yeye na mwenzie Lugora are safe come 2015 lakini sio wenzangu wa kundi la wakina Zambi come 2015 they are kwishney warudi UWT!!!
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?

Ni mzaliwa wa Wilaya ya ludewa kijiji cha Luana
Amezaliwa katika familia maskini
babake alikuwa na wake wawili
babake alikuwa anafanya kazi Njombe kabla hajastaafu na kuhamia Ludewa
baba anaishi Ludewa mtaa wa Mji mwema
Deo amejenga Ludewa mtaa wa Ibani
Kwa DSM anaishi kwenye nyumba ya kupanga eneo la mtoni kijichi kanisani
ana mke na watoto wawili
 
He is one of few CCM MPs who know what the r doing, and think be4 acting!

I agree, yupo active, current, intelligent, not coward, na atasema kitu sahihi, na hata CCM haiwezi kumzuia & he doesn't care anyone when it comes to UKWELI, i admired him, well done Deo & keep on....
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?

Kumbe ana biashara aiseee. Aweke vizuri tax returns zake. TRA watatumwa siku si nyingi na watatoka na taarifa ya kummaliza. Tanzania more than you know it??!!! But I hope he is clean!!!
 
Back
Top Bottom