Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Umetoa maelezo mazuri ulipochemsha ni kutoa mifano ya wazungu. Acha kuchanganya tamaduni wewe usiige. Hata hivyo mila zetu ni nzuri mwanamke lazima amuhudumie mume ipasavyo
Hivi umesoma hadi darasa la ngapi vilee mimi nimeishia darasa la nneMmmhh
Should I stay or should I go ...
Aisee!!!! I didn't know about thisNdo maana walitakiwa walee watoto,haya mambo naturaly sio yao!
utakoma...
kusoma hatuachi...
tumesoma na tutazidi kusoma
kama Elimu ya mtu inakutisha nakupa pole....
Hivi umesoma hadi darasa la ngapi vilee mimi nimeishia darasa la nne
Nadhani hapa suala sio mtu kutishwa na elimu ya mtu. Hapa hoja ni kwamba wanawake kwakisoma wanakuwa na nyodo. hawaheshimu wanaume kadiri inavyopaswa. Hebu tuangalie hili ni kweli? Mimi binafsi naona ni kweli. tusipindishe hoja
Pole, inaonekana yashakukuta. Lakini nafikiri hii mentality wanaume tunatakiwa tuiondoe. Kinachosumbua hapa ni tu kwamba msichana liyesoma anazijua haki zake za msingi, kwa hiyo hatakubali kutumiwa kama duludoza. Na hapo ndo tatizo linapoanzia, maana wanaume wengi tunapenda tuonekane kama miungu watu. Lakini ukichukulia poa, ukawa unafanya naye mambo yote kwa kuzingatia usawa; (I mean unafua, unapika, unadeki unafagia uwanja pale unapoona inawezekana) hakuna utakachoona kigumu. Kwa kawaida mwanamke msomi ana kazi sawasawa na wewe. Kwa hiyo kama ambavyo wewe usivyo na nafasi, yeye pia hana. Kwa hiyo hawezi kuwa na muda mkubwa sana wa kukutumikia wewe tu. Kwa kiasi kikubwa mnahitaji mfanye kazi kwa usawa. Ndo maana wazungu wanawekeana zamu kwa kila kitu.
Dah!!! Ndio maana hadi leo huwa nakuogopa, mimi kipindi kile nilikuwa busy kwenda kutungua maembe, Klorokwin nae hata la kwanza hakumaliza sababu ya kuuza peremende huku Hashycool alikuwa busy na kufuga bata matokeo yake akaishia Daarasa la pili, ukiangalia utagundua nimesoma kuliko wote haoYaani hukumbuki
Nlimaliza kabla yako
Nina PHD ya vijidudu..
Nlikushinda kuhesaba vifiniko vya bia
Nkapandishwa darasa kuhesebu vujiti..
Nakuandika kwa penseli wakati we bado
Ulikuwa unaandika mchangani..
Dah!!! Ndio maana hadi leo huwa nakuogopa, mimi kipindi kile nilikuwa busy kwenda kutungua maembe, Klorokwin nae hata la kwanza hakumaliza sababu ya kuuza peremende huku Hashycool alikuwa busy na kufuga bata matokeo yake akaishia Daarasa la pili, ukiangalia utagundua nimesoma kuliko wote hao

Hivi nyie mnaotukana wanawake

Wasomi wa Ki Africa inamaana

Dada zenu, mama zenu, watoto wenu

Wa kike

Hawajasoma au hamtaki wawe wasomi??