wasichana/wanawake wa JF wasaaidieni wenzenu ambao hawamo JF;

Pia post za wadada wanaotafuta wachumba tunaziona chache sana. Nawashauri hata wa pale Buguruni tuwakaribishe humu nao waweze pata wenzi.
 
mbona mi mdada...bt nimetafuta mchumba nmekosa..hata wa online cjui mkoc au balaa..tatizo mdada akitangaza anatafuta mchumba wanaume mnadiwadic kwa kuona wameishiwa au vmeo
kunya anye kuku..aknya bata...?
 
Back
Top Bottom