Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

Mama Mwana

JF-Expert Member
Jun 6, 2023
1,206
3,882
Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? Namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
 
Good evening,

Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.

Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.
Bora umewakumbusha dada yangu maana!!!!
 
Hata wao hawapendi kufall na waume za watu 😂😂😂ni moyo una maujinga.

Bado hujatibu tatizo , wafundishe mabinti kukataa waume za watu "NO" , sasa unazungumzia kula pesa ukishakula hela za mwanaume lazima utazitumikia hakuna free lunch !! Magonjwa na mimba zisizotarajiwa utatoa mpaka lini !! Na sio kila mwanaume atakubali utoe mimba yake !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom