wasichana wanaopotea kwao.

Husny !
Ni hivi , Uporoto kamwaga ugali ! Wewe mwaga Dagaa !
Wanaume hatujaisha tulio wasimbe na wakiwa hapa Jeief wala asikufanye muhanga.
Mwanamke siku zote atabaki kua "Mali Kipussa"
Mwanamke hawi kiporo hata siku 1.
Naomba nichukue fursa hii adhimu , adimu , finyu , na nadra kuipata kukupa PROPOSAL ama OFFER rasmi kukupokea with my two hands.
Aidha naitangaza offer hii hadharani kadamnasi .
Nawe uijibu hadharani .
Plz Mammiy come'on uje nikupatie makitu adimu , na haba yaendanayo na wakati .
Nasubiri jibu lako la faraja , busara , na lililojaa vimelea vya Malavidavi .
Jibu haraka, kwani naiandaa Sredi maalumu kwa ajili yako .
Na ndiyo njia pekee ya kumtia adabu Uporoto.
Pancrease, Smile, Sweetlady, Preta , Canta , Amyner , AshaDii , King'asti mnasubiri nini kunipigia DEBE ?
 
Mi nilitoroka kwetu walikua wananitesa (mama wa kambo).
Sasa niko kwa Anti na Uncle, najiskia huru sana :poa
Wananilipia hostel during the week, weekend naenda kwao
 
Mi nilitoroka kwetu walikua wananitesa (mama wa kambo).
Sasa niko kwa Anti na Uncle, najiskia huru sana :poa
Wananilipia hostel during the week, weekend naenda kwao
Pole kwa yaliyokukuta zamani kwa uelewa wako kule internationa forum sidhani kama ni sasa.
 
Husny , mbona unachelewa kuja ?
Ukizidi kuchelewa nalipuka na Thread maalumu!
Hata ukiniumbua potelea kwa mbali, Nzi kufa kidondani is not big issue !
 
sawa ndio maana natafuta majibu kwanini age iwe hii tu ? 16-19 na sio tuseme wa miaka 10 au 12.
Probably sababu miaka hiyo mtoto anakua old enough to dare,
but still too young to fully understand the consequences of her actions
 
wonders shall never end.

Kumbe limbwata la Mpwapwa feki
simpi mateka wangu asije akanikana hadharani

husyn, kwa maneno haya kanywe maji ya generator.

Nisamehe baby nilikesha kazini kumaliza ripoti.pokea hii,na hug,napia tupendane tuzae mapacha.:A S-rose::hug::mimba:
 
wonders shall never end.

Kumbe limbwata la Mpwapwa feki
simpi mateka wangu asije akanikana hadharani

husyn, kwa maneno haya kanywe maji ya generator.
Haya na tuanze kumpigia debe kwa Judgement manake ameamua kumchukua jumla. Mtafute husni akuje hapa tuwapige ndoa ya mkeka fasta!

@ Judgement usijali shemeji langu, tupo kwaajili yako, kwa niaba ya familia tunashukuru sana vile umeokoa jahazi, toka jana husninyo analia tu, hali, hanywi, haogi wala halali. Anataka kujinyonga ati... Mungu atakulipia na uporoto dawa yake ipo!
 
Husny , mbona unachelewa kuja ?
Ukizidi kuchelewa nalipuka na Thread maalumu!
Hata ukiniumbua potelea kwa mbali, Nzi kufa kidondani is not big issue !
Anakuja shemeji, anamalizia kujifuta machozi ya furaha... Haamini kama umempokea kwa mikono miwili... Vuta subira shem.
 
Husny , mbona unachelewa kuja ?
Ukizidi kuchelewa nalipuka na Thread maalumu!
Hata ukiniumbua potelea kwa mbali, Nzi kufa kidondani is not big issue !

samahani mpenzi, unajua sikurudi tena hapa. Love u honey.. Plz be mine.
 
Hivi hiki kweli hakikiuwa kidumu??
Mbona kimejitokeza haraka hivyo??

Kuna msemo, 'ukitaka kumjua mgoni wako, mwache mkeo'

Haya, Judgy, karibu kundini.
Anakuja shemeji, anamalizia kujifuta machozi ya furaha... Haamini kama umempokea kwa mikono miwili... Vuta subira shem.
 
Back
Top Bottom