wasichana wanaopotea kwao.

Khaaa, hahahaha! Jamani shemu ni wewe au naota....lol..

Kuhusu wasichana kupotea inategemea bana, ila nijuavyo mimi asilimia kubwa( kuanzia 18 yrs na kuendelea) huwa wanajipeleka kwa wanaume.....we fikiria kabinti kaingie kwenye mikono kama ya jibaba klorokwini sangapi katakumbuka kurudi kwao? Wazazi wanasubiri weee mpaka wanachoka mwisho wanaamua kwenda kwenye vyombo vya habari kutangaza! Vipi shemeji umepotelewa au?
Sijapotelewa ila huwa nashangaa hawapotei wa miaka 8-14 ila hawa tu.
 
Sio aibu kubemendwa
ni sifa tu
ila sijajua ni sifa ya aina gani

usimkane shoga au husyn
niliwaona pala MachiMachi guest house.
Sijawahi kumpeleka mtu gesti huwa nawaleta nyumbani na msichana yoyote anayekubali kupelekwa gesti kadharauliwa na ajue hapendwi/anatumiwa.
 
mie nimemshangaa
hajui kifua chake kinajiuza sana
angepata hata tenda ya kuvunja milango

Uporoto ! Acha basi geujamaneno! Unajua kuna tik-taka, na chogo chemba , Una maana Katavi alivyokugusa jana abt Husn , unabaraguzia kwa Kabakbn ?
 
Uporoto ! Acha basi geujamaneno! Unajua kuna tik-taka, na chogo chemba , Una maana Katavi alivyokugusa jana abt Husn , unabaraguzia kwa Kabakbn ?
Nipo na kabakabana kuanzia mkesha wa mwaka mpya lol!
Umenikumbusha mbali huyo chogo chemba umewahi kuona picha yake ? ana sura mbaya huyo walimwita eti ana 'sura ya kufa'.
 
unajua miaka 30 selo naona haitoshi wangenyong'wa kadhaa hawa waharibifu wa wanafunzi wangekoma.

kwenye ile kitu hamna kukoma mkuu! Fikiria jinsi wezi wanavyochomwa moto kinyama lakini wapi! Wazazi tujitahidi tu kuwadhibiti mabinti zetu kwa kuwapa elimu na kuwanyima uhuru wa kutoka toka bila sababu majumbani mwetu!
 
Back
Top Bottom