wasichana wanaopotea kwao.

Nipo na kabakabana kuanzia mkesha wa mwaka mpya lol!
Umenikumbusha mbali huyo chogo chemba umewahi kuona picha yake ? ana sura mbaya huyo walimwita eti ana 'sura ya kufa'.

Namkumbuka sana Chogo, mie si wa generation ya Fcbk ! Ni wa wakati ule wa Unga wa Jangwani, Sigara , Betri , Sukari kwa foleni.
Sasa hoja yako tunamhitaji Kabakabana apigilie msumari wa mwisho Jenezani .
 
Hawapotei bana ni dili tu, tena iyo dili wanaipanga hao wadada wenyewe. Ukikuwa nao gesti wanakwambia acha nijipakazie nimetekewa ili tupate uhuru wa siku mbili tatu. Wanawake bana!

hujaeleweka hapo umetekelewa inamaana gani?
 
Nipo sweety.

huo wivu wa kawaida tu.

Nilibanwa kazini luv naahidi kutopotea JF tena naweza kukukosa hivihivi nuksi wengi humu(katavi,kongosho na judgement) amyney na sweetlady nao siwaamini.

hny jamani mbona hukurudi home siku mbili?me staki
 
Back
Top Bottom