Wasichana wa vyuo hujiuza ili kupata namna ya Kuishi vyuoni.

I have the data but still waiting for the approval and clearance for publishing. After this i will post it with full statistical evidences. But don't get offended with my data.

pia usisite kutuletea hapa hapa jamvini..
 
Chieth naungana nawe kwa 100% huyu jamaa sijui nani kamwambia umalaya au ushoga, ujambazi na ufisadi unasababishwa na hali ngumu ya maisha pekeeee? Kama kweli ni kukosa mikopo basi mbona wanaume nao hawajiuzi? Kama ni kukosa mikopo na amesema dau linaazia 50,000/= hadi 100,000/= ukipiga mahesabu ya haraka haraka kwa wiki anaweza pata takribani 200,000/= kwa mwezi 1,000,000/= kwa mwaka 12,000,0000/= basi wangefanya mwaka mmoja yatosha lakini huwa ni hulka hata wakijaolewa na washefa wenye mapesha itakua ndiyo tabia yao tu.
 
Ahsante sana kwa kuona hilo, ila sina uhakika kama wote ni tabia yao, bali inawezekana kabisa pia hali ngumu ya kimaisha na msichana anataka apate degree. SO some of them may stop this actions and start a new life without going back to that life. But I do agree with you that some may end up with this behaviour while in marriage.
 
daah! yani hapo umenena kabisaa vyuoni siku hz ni midundiko tu kwenda mbele yaani inaonekana styl ya kujiuza ndo sifa za wadada wakichuochuo na sio eti kukosa karo au mkopo kwan akina kaka nao wanasomaje bila mikopo halaf cha ajabu kama ni ukosef wa ada mbona wanafanya hvyo wakati wote wa kuwepo chuon na mtu kamahuyu tayar atakuwa ni addicted bada ya kumaliza chuo......mwisho wa sku degree inaambatana na HIV
 
Back
Top Bottom