Wasichana wa vyuo hujiuza ili kupata namna ya Kuishi vyuoni.

CHIETH

Senior Member
Aug 15, 2011
179
67
Baada ya Uchunguzi nilioufanya kwenye miji mbali mbali hapa nchini yenye vyuo vikuu nimegundua kuwa wasichana walio wengi wa vyuo hivyo hujiuza ili waweze kupata namna ya kujikimu. Mwanza, Chuo kikuu cha SAUT wasichana wengi waliokosa mkopo wanaishi maisha magumu sana na hatimaye huamua kwenda kujiuza mjini Usiku ili waweze kupata pesa ya kujikimu na hatimaye kulipa karo. Wengi wao huanzia kwenye mitandao kama Badoo.com, Twoo.com, Hi5.com, Tagged.com na fb. Wanaweka picha zao zinazoonyesha sura zao na maumbile zao ili waweze kuvutia wanaume na hatimaye kuanza kuchat na wanaume hao na kuwapa namba za simu. Wengine huenda kwenye hotel kubwa Kama GOLD CREST HOTEL, MWANZA HOTEL, JB BELMONTE, VICTORIA PALACE na RYANS BAY HOTEL. Afikapo hapo huagiza hata soda halafu huaanza kujifanya anasoma. Mwanaume yeyote atakapojikoki, msichana huyo hujilainisha na hatimaye mwanaume kutanganza dau na hatimaye huondoka naye. Wasichana hawa hujipendezesha kweli kweli. Usiku wanabadilisha nguo zao na kuvaa siruali fupi zinaonyesha maeneo yao ya siri halafu hujipitisha kwenye club za hoteli hizo kama GOLD CREST NA MWANZA Hotel. Hujiuza kuanzia dola 50-100 kwa wazungu na tshs 50000-100000 kwa wabongo.
Cha kushangaza wasichana hawa wanawapenzi wao wanaodai wanawependa. Kibaya zaidi matumizi ya condom pia wanadai eti huwa hawatumii sana hasa pale ambapo dau ni kubwa. Wasichana hawa pia hudai kuwa wananyonya uume wa wateja wao, na wakati huo huo wanakiss na wapenzi wao wa kila siku.
Wanadai kuwa hawajutii maisha haya maana ni hali halisi ya maisha ndo imewafanya wawe hivi.
Ombi Langu kwa serikali ni kuangia namna ya kuwasaidia wasichana wanaosoma fani kama BPRM na Bsociology kwenye vyuo hivi ili waachane na tabia hatarishi hizi. Pia elimu ya Ukimwi nao ungefundisha kwenye vyuo hivi iliwaweze kujilinda.
Mzazi au ndugu yeyote mwenye binti yake kwenye chuo hiki jitahidi kuwaasa mabinti zenu waachane na tabia au basi wawe wanachunguza afya zao na Kuchukua tahadhari.
 
Wewe ndio unajua haya leo???!!!!!!!....Hata hao viongozi wa serikali na hao unaosema ni wazazi ni miongoni mwa wanaolipa sh.50000/= -100000/= Karibu Duniani ndugu uyaone ya firauni.:coffee::mvutaji:
 
Mkuu huu ni utafiti au UMBEA???

You can't convince a scientist without DATA
Chukilia kwa vyo vyote vile utavyoona. Ila kama utaamua kwenda nao basi tumia kondom vizuri. Maana ni waongo na wanaweza kukudanganya kuwa kwa sasa hana mtu ni wewe tu, hatimaye unaungua. Just tahadhari ndugu.
 
"Cha kushangaza wasichana hawa wanawapenzi wao wanaodai wanawependa. Kibaya zaidi matumizi ya condom pia wanadai eti huwa hawatumii sana hasa pale ambapo dau ni kubwa. Wasichana hawa pia hudai kuwa wananyonya uume wa wateja wao, na wakati huo huo wanakiss na wapenzi wao wa kila siku"
Maneno haya yana ukweli?
 
Come to those Places I mentioned and find out, and then you will conclude whether it is true or not. I was just trying to bring awareness here so that you can be safe if you used to have them.
 
Chukilia kwa vyo vyote vile utavyoona. Ila kama utaamua kwenda nao basi tumia kondom vizuri. Maana ni waongo na wanaweza kukudanganya kuwa kwa sasa hana mtu ni wewe tu, hatimaye unaungua. Just tahadhari ndugu.
Mkuu mimi sijapinga kuwa unachokisema sio cha kweli, ila namna ulivyo weka ni kiumbea umbea zaidi kuliko kiutafiti. Nilitegemea ungesema katika sample ya wasichana kiasi fulani imeonekana asilimia fulani ni wauza K na asilimia fulani sio. Asilimia nyingine wanatumia condom nyingine kavu kavu ete, in a scientific manner. Hizo hotel ulizotaja huwa naenda sana kwa business meeting weekends na naona uhalisia ambao si kama wewe ulivyoweka hapo

Haya maneno ya wanafunzi kujiuza tunayasikia lakini hakuna mwenye data. Hata maBar maid ukikutana nayo kama mshamba mashamba watakwambia ni wanachuo, but ukiwauliza unasoma nini anakwambia SHOSHOLOJI unajua hapa changa la macho.
 
U r right my friend. I have a full data which of course i am going to present next week at my thesis presentation here in South Korea. If u can inbox me your email address I can send you a full copy of my research report. Yes, I agree that if you read my post it looks as a gossip but is a fact.
 
Wewe unashangaa nini!. You are talking about women. Do you know women?.Women are only children of a larger growth. Waache wajiuze wataona matokeo yake.
 
ungekuwa na data nzuri kama zile za NIMR kuhusu uliwaji wa 0713 kwa dada zetu ingekuwa poa sana na ungeamsha hisia za wengine.. endelea na utafiti tu my nigger...
 
Dr? Sishangai ila natafuta the way forward maana hata wewe unayeongea hapo utakuwa na mtoto ambaye ni msichana. Kwa hiyo we should advoacate on how to help them so that they can get out of these risk behaviours or bring them to there senses.
 
Mkuu huu ni utafiti au UMBEA???

You can't convince a scientist without DATA
..vitu vingine havihitaji tume huru kupata ukweli,mpaka rais anajua janga hili. nenda dodoma utajua ukweli wa mambo haya,nenda ifm, nenda kwenye madanguro utakao wakuta utalia machozi asubuhi kweupeeeee...
 
ungekuwa na data nzuri kama zile za NIMR kuhusu uliwaji wa 0713 kwa dada zetu ingekuwa poa sana na ungeamsha hisia za wengine.. endelea na utafiti tu my nigger...
I have the data but still waiting for the approval and clearance for publishing. After this i will post it with full statistical evidences. But don't get offended with my data.
 
Wewe jamaaa na thesis yako hiyo ya uongo mi mbona nasoma hapa SAUT ila ulichoongea hakina uhalisia kwa msomi yeyotee mbali na hilo hujaweka any data to prove ua thesis sasa tukuamini vp n then mbona hujaongelea vyuo vingine its only SAUT n umesema ni wasichana wa vyuo wewe kama una yaliyokupata na wanawake wa saut sema sio kuongea kuongea tuu kuwa msomi na sio mbululaa..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
..vitu vingine havihitaji tume huru kupata ukweli,mpaka rais anajua janga hili. nenda dodoma utajua ukweli wa mambo haya,nenda ifm, nenda kwenye madanguro utakao wakuta utalia machozi asubuhi kweupeeeee...
Ni kweli unachosema ndugu yangu, Lakini bado huyo bwana anayo haki ya kuomba data ili aridhike. No data no right to speak, they say!
 
Wewe jamaaa na thesis yako hiyo ya uongo mi mbona nasoma hapa SAUT ila ulichoongea hakina uhalisia kwa msomi yeyotee mbali na hilo hujaweka any data to prove ua thesis sasa tukuamini vp n then mbona hujaongelea vyuo vingine its only SAUT n umesema ni wasichana wa vyuo wewe kama una yaliyokupata na wanawake wa saut sema sio kuongea kuongea tuu kuwa msomi na sio mbululaa..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
...ma weee saint agustine ?? si ndo hawa walitoa mkanda wa ngono zembe ? taja chuo kingine sio saut..
 
Wewe jamaaa na thesis yako hiyo ya uongo mi mbona nasoma hapa SAUT ila ulichoongea hakina uhalisia kwa msomi yeyotee mbali na hilo hujaweka any data to prove ua thesis sasa tukuamini vp n then mbona hujaongelea vyuo vingine its only SAUT n umesema ni wasichana wa vyuo wewe kama una yaliyokupata na wanawake wa saut sema sio kuongea kuongea tuu kuwa msomi na sio mbululaa..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
U have all the rights to refute whatever it is said here, but please take utmost care while you are with those girls in any college in tanzania. Do you agree with me that some of the girls and boys did not secure loans from HESLB? So the only way they can make life go in those colleges or universities is by going out to sell their bodies. I don't need to argue with you but take time to find out my dear colleague. You might think that you are sailing in the right boat, but may be not u r in the sinking boat.
 
U r right my friend. I have a full data which of course i am going to present next week at my thesis presentation here in South Korea. If u can inbox me your email address I can send you a full copy of my research report. Yes, I agree that if you read my post it looks as a gossip but is a fact.

I am interested with what you are trying to give out! Nita ku pm muda si mrefu unipe hizo data.
 
Back
Top Bottom