Wasichana wa vyuo hujiuza ili kupata namna ya Kuishi vyuoni. SERIKALI CHUKUA OKOA VIJANA

CHIETH

Senior Member
Aug 15, 2011
179
67
Baada ya Uchunguzi nilioufanya kwenye miji mbali mbali hapa nchini yenye vyuo vikuu nimegundua kuwa wasichana walio wengi wa vyuo hivyo hujiuza ili waweze kupata namna ya kujikimu. Mwanza, Chuo kikuu cha SAUT wasichana wengi waliokosa mkopo wanaishi maisha magumu sana na hatimaye huamua kwenda kujiuza mjini Usiku ili waweze kupata pesa ya kujikimu na hatimaye kulipa karo. Wengi wao huanzia kwenye mitandao kama Badoo.com, Twoo.com, Hi5.com, Tagged.com na fb. Wanaweka picha zao zinazoonyesha sura zao na maumbile zao ili waweze kuvutia wanaume na hatimaye kuanza kuchat na wanaume hao na kuwapa namba za simu. Wengine huenda kwenye hotel kubwa Kama GOLD CREST HOTEL, MWANZA HOTEL, JB BELMONTE, VICTORIA PALACE na RYANS BAY HOTEL. Afikapo hapo huagiza hata soda halafu huaanza kujifanya anasoma. Mwanaume yeyote atakapojikoki, msichana huyo hujilainisha na hatimaye mwanaume kutanganza dau na hatimaye huondoka naye. Wasichana hawa hujipendezesha kweli kweli. Usiku wanabadilisha nguo zao na kuvaa siruali fupi zinaonyesha maeneo yao ya siri halafu hujipitisha kwenye club za hoteli hizo kama GOLD CREST NA MWANZA Hotel. Hujiuza kuanzia dola 50-100 kwa wazungu na tshs 50000-100000 kwa wabongo.
Cha kushangaza wasichana hawa wanawapenzi wao wanaodai wanawependa. Kibaya zaidi matumizi ya condom pia wanadai eti huwa hawatumii sana hasa pale ambapo dau ni kubwa. Wasichana hawa pia hudai kuwa wananyonya uume wa wateja wao, na wakati huo huo wanakiss na wapenzi wao wa kila siku.
Wanadai kuwa hawajutii maisha haya maana ni hali halisi ya maisha ndo imewafanya wawe hivi.
Ombi Langu kwa serikali ni kuangalia namna ya kuwasaidia wasichana wanaosoma fani kama BPRM na Bsociology kwenye vyuo hivi ili waachane na tabia hatarishi hizi. Pia elimu ya Ukimwi nao ungefundisha kwenye vyuo hivi iliwaweze kujilinda.
Mzazi au ndugu yeyote mwenye binti yake kwenye chuo hiki jitahidi kuwaasa mabinti zenu waachane na tabia au basi wawe wanachunguza afya zao na Kuchukua tahadhari.
 
Mkuu!

Kupanga ni kuchagua kiongozi. Acha watumie rasilimali walizo pewa na Mnyaazi Mungu.
 
ndugu madai yako ni mazito hasa pale ulipokwenda mbali zaidi kwa kueleza namna wanavyo hudumia wateja wao, (wananyonya uume, hawavai condom) hebu tueleze uchunguzi wako ni kiwangoo gani?
 
inaonekana naye ashatoka na wengi wao.
 
tabia haina dawa na wale watoto wa kina mbowe wanashida gani na kona wamesimama mda huu
 
Back
Top Bottom