Wasichana wa saint augustine,mwanza.

nasikia ni saut yote,infact,kila chuo kina malalamiko juu ya wasichana wanaosoma huko!
Ila,haimaanishi kila aliyepo maeneo hayo yupo kama ulivosema,....
Katika kila kundi la wengi (wawe waovu au wema) lazima kuna wachache walio tofauti kabisa na hao wengi!

Vipi kama wangu yupo hapa na yeye ni tofauti?
 
UMEAMUA KUWA NJIWA, WIVU WA NINI KWANG'OMBE ANAEKAMULIWA?

Ni kautamaduni kadada zetu Kama CCM WANABANA WAO WANAACHIA sio kwamba wanapenda wamejiwekea kautaratibu kakukomboa matumbo yao. Huko Sweya, Nganza, bondeni, fisheries, darful ni utafutaji na huwezi kuwazuia ila waambie watumiage kinga maana ndio wake zetu wa baadae hao.

Dah,unazijua kona za hostel za sauti balaa!
Nimesoma Nsumba o-level,na nilikua kama mwanachuo jinsi nilivo kua najichanganya huko darful & sweya
 
nI ALMOST COLLEGES ZOTE DUNIANI BANA... KILE NI KIPINDI CHA KUJILIPUA

NA UMASKINI UNACHANGIA

Kweli mtupu,maskini wazazi wetu laiti wangalijua kinacho endelea vyuoni wangali tuombea usiku na mchana
 
Kwa vyuoni hiyo ni kawaida sana. Siyo huko tu, kila sehemu. Ila jinsia moja haiwezi kuwa malaya kama hawa-compliment na jinsia nyingine. Sijawahi sikia shoga (wa jinsia moja) wakaitwa malaya.
Akina mama wengi hushambuliwa coz wao ndo usukani wenye funguo za uzima, za ndiyo mlango unafunguliwa au hapana mlango unafungwa.
Pole mkuu kama yamekukuta.
 
Acha wagawe uroda ni wakati wao.Ila wajue ukimwi utawamaliza maana unamaliza digrii yako tu hujafaidi matunda yake we kwaheriiiiiiiiii!
 
Niambie tu my dear
ni umeuchikia hadi basi
au unaupenda hadi hakuna
hahahahahhahahaahhahahha lol

Mtam sana,sikupata shida kukusa hihishia daftari la mwandiko,
nashukuru hadi leo unaandika vyema,..haha
 
Mtam sana,sikupata shida kukusa hihishia daftari la mwandiko,
nashukuru hadi leo unaandika vyema,..haha

hahahahah lol
na mwalimu kama wewe mmhh
Kosa hufanyi hahahahahahhahaha lol
nakumbuka jinsi ulivyokuwa unanifinya
na kalamu sikioni mmmhhh naogopa kukosea mpaka sasa lol
 
Hmm ila mi nadhani hiyo inatokana na tabia ya mtu. Huwezi ukasema hostel nzima wana tabia hiyo, Mtu kama ana tabia njema na mwaminifu, hata akiwa anakaa huko kwenye hiyo hostel yeye hatakuwa na tatizo lolote.
Ila mtu kama ni mzinzi hata kama akiwa anafanya kazi kanisani bado atakuwa mzinzi tu, tabia ndio tatizo lao. Hivyo mimi binafsi siona haja ya kuwa na wasiwasi kama nina uhakika mwenza wangu ni mwaminifu. Ila huu ni mtazamo wangu tu
 
nadhani hiyo hostel ni ile ambayo ukivuka geti la ngaza sec kwa mbele kidogo kuna ka kona flani mkono wa kushoto ukiwa unaenda chuoni nyumba ina geti la blue matofali ya kuchoma na upande mmoja imepigwa chiping......hapo panafahamika sana kwa shughuli hiyo...........mabinti hawajaseto kabisa.........
 
unamaanisha zile hostel karibu na ATM ya crdb? Wale ni makahaba na first year wengi ndo wanakaa pale
 

hahahahah lol
na mwalimu kama wewe mmhh
Kosa hufanyi hahahahahahhahaha lol
nakumbuka jinsi ulivyokuwa unanifinya
na kalamu sikioni mmmhhh naogopa kukosea mpaka sasa lol

hahaha,siku hizi nimekua mpole sana sitaki
kufinya watoto wa watu
maana kuna mwalimu mwenzangu
alifinya mtoto mwaka jana mkono
ukapinda kabisa hadi leo duh
 
:disapointed:Sometimes tabia huambukizwa, huwezi kusema kuwa kila msichana wa saint Augustine anayefanya hivyo alikuwa na tabia hiyo hata kabla ya kuja hapo chuoni..........
Kweli kila mtu ana tabia yake, lakini pia mazingira humbadilisha mtu kwa asilimia kubwa sana. Mimi siwezi kusema kuwa ni kitu cha kawaida kwa wasichana wasomi kama hao kufanya vile. Kwanini ni wao tu ndo wamesikika ili hali kuna vyuoo vingi tu nchini? Nahisi ni katabia tu ya mazingira ya pale inayojiendeleza.

Lakini jumuia kama jumuia, inajifunza nini kwa wasomi hao??????????????
Au ndo kusema kadiri hao wadada wanavyosoma ndivyo wanapozidi kuwa na hamu ya kungoneka................haya langu jicho..

But take care you all.
 
Back
Top Bottom