Wasichana wa saint augustine,mwanza.

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
6,823
14,173
Wakuu,kama una mpenzi,anaesoma saintaugustine,malimbe CAMPUS mwanza,kuwa makini,kuna kahosteli kamoja karibu na barabara ya kwenda chuoni,wadada wanaoishi hapo ni baraa tupu,they are just golddigers,wanabadilisha wanaume kama hawana akili nzuri vile,
Ni wasomi,lakini madudu wayafanyayo yanatisha,
Ndugu zangu kwa alie na mpenzi maeneo hayo,awe makini,mnaweza mkawa mpo hata watano,na wate mna hudumiwa,
I speak from experience,cioo guys.
 
shukran kwa taarifa mkuu
 
Nsia mbona alimaliza kitambo tu, nadhani huyu jamaa atakuwa anawaongelea mademu wa pale rugambwa hostel maana na wao mh...!
 
St. Augustine wamezidi, tena jioni huwa wanashuka kule chini kama unaelekea ziwani kwenye vipori-pori jirani ya chuo cha uvuvi WANAJIACHIA.
 
Searching..
kamahauridhishi akung'ang'anie ya nini..
khaaaa mwache mtu ajaribu nguo yake kabla hakununua
Asije haribu pesa zake bure..
 
Afrodenzi umemaliza, kama katoswa ni yeye, halafu wabongo lini tutaheshimu mwanamke jamani? Huyo anesema hivyo huenda ndo yeye ana wanawake kibao...wanaume watz ndo tulivyo kuwasema wanawake tu...Life is just a way, use it when u have time, let them use the life before the life uses them....Umepotea sana wewe bibie...
 
Jamani jamani
Magulumangu ndo nini
Kupotea hivyo bila hata kuaga
mmmhhh ngoja nikalete pingu na fimbo ya Mgambo..

Nway mie kitu kinacho niacha
solemba ni pale mtu anakuja na kusema
wasichana acheni uhuni halafu thread inayofuatia
Chini inasema wasichana wachoyo khaaaa...

Nway we mzima lakini?daaah umepotea sana bwana?
hope every thing is ok with you......
 
vyuo vingi wasichana ndo walivyo, manake wengine ni mahali pekee ambapo wanapata kujiachia toka kwa wazazi na walezi makini! hivyo hujikuta WAKIFUNGULIA MBWA maungo yao na wakitegemea miili yao kukidhi mahitaji yao
 
nI ALMOST COLLEGES ZOTE DUNIANI BANA... KILE NI KIPINDI CHA KUJILIPUA

NA UMASKINI UNACHANGIA
 
weka picha zao banaaaaaaaaaaaaaaa.................. nikifika iwe rahisi kununua biashara yao................te he te he....
 
Mbona watu wa hivyo wako kila sehemu. Kwa nini umewalenga hao wa hicho chuo tu?

hujasoma kua anspeak from experience!!
manake hapo ndipo aliposhuhudia kwake yeye mwenyewe na wengine wengi labda.
so ndo point yake ya reference.
 
Wakuu,kama una mpenzi,anaesoma saintaugustine,malimbe CAMPUS mwanza,kuwa makini,kuna kahosteli kamoja karibu na barabara ya kwenda chuoni,wadada wanaoishi hapo ni baraa tupu,they are just golddigers,wanabadilisha wanaume kama hawana akili nzuri vile,
Ni wasomi,lakini madudu wayafanyayo yanatisha,
Ndugu zangu kwa alie na mpenzi maeneo hayo,awe makini,mnaweza mkawa mpo hata watano,na wate mna hudumiwa,
I speak from experience,cioo guys.

UMEAMUA KUWA NJIWA, WIVU WA NINI KWANG'OMBE ANAEKAMULIWA?

Ni kautamaduni kadada zetu Kama CCM WANABANA WAO WANAACHIA sio kwamba wanapenda wamejiwekea kautaratibu kakukomboa matumbo yao. Huko Sweya, Nganza, bondeni, fisheries, darful ni utafutaji na huwezi kuwazuia ila waambie watumiage kinga maana ndio wake zetu wa baadae hao.
 
Back
Top Bottom