Wasichana wa kipare

Shiefl

Senior Member
Oct 31, 2010
145
32
Jamani nakuombeni msaada wenu. Kuna jamaa yangu kaniulizia habari za mabinti wa kipare baada ya kusoma za wasichana wa kichaga. Sasa yeye lengo lake ni kujua tu labda mambo muhimu kama sifa zao hawa wapare kama wake. Je wanastahimili hali ya uanamke ndani ya nyumba au nimemshauri akaangalie kwingine

Tuwe fair. Last time nilimshauri rafiki yangu mmoja kuwa akiangalia sana sura anaweza kwenda kuwaoa wairaqw lakini ajiandae kwa kuteswa na mke kwakuwa wale jamaa nje wanaachia sana.

Best
 
wote ni wanawake sawa tu,tabia kila mtu ana zake kutokana na malezi na mazingira aliyokulia
 
Ila wachaga katka kila thread lazma watajwe..! Kwan tatzo ni nin? Hao wapare muulzen mzee malechela wa cc... Ataweza kuwapa jibu sahihi
 
Wa maeneo ya gonja,chome,mkomazi,suji wanajua kukata kiuno wakati wa majamboozi
 
Oooppss!!!! Samahani wajameni nimekosea njia nilikuwa napaswa kupitia barabara ile sio hii
 
Hivi lakini,hizi research mnafanyaga kwa kutumia sample space ya watu wangapi?.maana people seem to be so sure kwakweli..mara wachaga,wapare,wahaya,wa..mlishawah kwenda places where people sale their bodies mkajua kabila gani linaongoza hapo?dah!.ahaha.
 
Nilikuwepo hapa.........Naelekea Upareni kuwauliza mabinti wa huko.
Nitarudi nikipata nauli.
 
Ukabila = Tabia??
Mtaacha lini ukabila huu???
Hebu acheni kuunganisha vitu
 
Back
Top Bottom