Wasichana: Ngono haimfanyi mwanaume akuache ila tabia

nilimsikia mtalaam wa saikolojia anasema Mwanaume mwenye furaha huoa mwanamke ampendae ila mwamaume mwenye zaidi humpenda mwamamke aliyemuoa
 
Hizi ngonjera wala huwa hazina uhalisia hata kidogo, hazina uhalisia hata kidogo
Watu tunatofautiana, hata vigezo vya kumtafuta mwenzi vinatofautiana pia....
Kama we unapenda tabia, wengine wanapenda sura, wengine shape n.k sifa zako sio sifa za kila m
tu kukariri hizi ujinga muache

Mapenzi ni msitu...Kila mmoja ana sababu zake..............
 
Back
Top Bottom