kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
yaani man city wadhalilishaji mno!Hiyo kali,usiombe uchezewe faul kama hyo
myie mashabiki wa manche-sita mko wapi?au nianze kuwataja kwa majina?
Akitoa Mkono tu, angalia inzi watavyomfuata!