Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,822
Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video.

Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U.

Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa Uganda.

Mtuhumiwa baada ya tukio alikimbia, yuko mafichoni akitaabika na dunia akiukumbuka kwa vitendo msemo wa waswahili, majuto ni mjukuu. Polisi wa Uganda wanamsaka.

Pamoja na timu za Man na Arsenal kuzaliwa miaka ya 1800's nchini Uingereza na kuwa na mashabiki wanaoishi waliozishabikia kwa zaidi ya miaka 100 hamna mauaji yaliyotokana na mechi ya juzi nchini humo.
 
Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video.

Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U.

Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Ainerugaba eneo la Sheena, kaskazini mwa Uganda.

Pamoja na timu za Man na Arsenal kuzaliwa miaka 1800's nchini Uingereza na kuwa na mashabiki wanaoishi waliozishabikia kwa zaidi ya miaka 100 hamna mauaji yaliyotokana na mechi ya juzi nchini humo.
Huu ni ujinga promax
 
FB_IMG_16858738965132635.jpg
 
Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video.

Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U...
CC BBC idhaa ya kiingereza
 
Kafanya maamuzi mabovu lakini kitendo cha shabiki wa arsenal ambae Tim yake haina uefa kubishana mbele ya shabiki wa manutd ni utovu wa nidhamu ilistahili amtandike tu makofi au bakora na siyo kumuua maana mashabiki wa arsenal wenyewe wameshajikatia tamaa huwa haiishi misimu mi3 bila kujinyonga
 
Pamoja na timu za Man na Arsenal kuzaliwa miaka 1800's nchini Uingereza na kuwa na mashabiki wanaoishi waliozishabikia kwa zaidi ya miaka 100 hamna mauaji yaliyotokana na mechi ya juzi nchini humo.
 
Back
Top Bottom