Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wana familia zao zinaowategemea
Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na
pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo

teh wasanii wenyewe ndio walewale waliopo ICU kisanaa....kama huyo steve nyerere ndo hamba kitu kabisaaaa....nimemuona na super mbebez le mutuz.....hamna wasanii hapo......wasanii waliobakia ni WCB
 
Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wana familia zao zinaowategemea
Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na
pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo

Wachumia Tumbo hao
 
Mbona nimewaona wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wawili

1.Hadija Kopa na
2.Asha Baraka,

Mtoto wa makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM Taifa

William Malecela "Le mutuz"

Na baadhi ya washereheshaji wa kampeni za CCM.Hawa ndio mnawaita wasanii wa Tanzania?
 
Hapa ndio naanza kumwelewa Kikwete kwa nini ilifikia hatua akaitwa dhaifu upande mmoja .........Na upande wa pili aliujua yeye Mwenyewe.

Ni kipindi hiki naona hakuna taasisi iwe ya kidini au kiraia kutoka hadharani kusemea hayaaa!!
Nchi imejaa hofu.
Najiuliza tu, tukiendelea kwa mtindo huu basi bwana mkuu anaweza fanya maamuzi yoyotee na hakuna atakae thubutu kuhojii.
I'm scared.
 
Walivyokuwa hawatumii akili sasa, wameshindwa kuweka sura tofauti na zile zionekanazo kwenye majukwaa ya kampeini na mikutano ya ccm!
Hapa hawatomshawishi mtazamaji yeyote kwamba wako hapo kama wasanii bali ni yale yale ya mkutano wa waandishi wa habari ulioitishwa lumumba kesho tarehe 26/08!
 
Katika hali ya kushangaza na kuonyesha hali ya hofu ulio pitiliza wasanii na wanachama wa chama cha mapinduzi wameonekana kutumiwa na chama kupinga operesheni UKUTA na hili linaonyesha namna ambavyo siasa ipo kila mahali

Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wanafamilia zao zinaowategemea.

Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo.

Wasani bongo? Wote hao mikutano na kampeni tunawaona wakishiriki kwenye CCM. Wamepewa chao inawatosha, wanahabari ya katiba kusiginwa wengi wao mbumbumbu!
 
Back
Top Bottom