kamanda wa makamanda
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 619
- 471
Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wana familia zao zinaowategemea
Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na
pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo
teh wasanii wenyewe ndio walewale waliopo ICU kisanaa....kama huyo steve nyerere ndo hamba kitu kabisaaaa....nimemuona na super mbebez le mutuz.....hamna wasanii hapo......wasanii waliobakia ni WCB