Wasanii wangu 10 bora wa hip-hop kuwahi kuwashuhudia hapa Bongo

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Feb 25, 2022
182
259
WASANII WANGU 10 BORA WA HIP-HOP KUWAHI KUWASHUHUDIA HAPA BONGO.

1. PROFESA JAY
2. ALBERT MANGWAIR(r.i.p)
3. JAY MOE
4. JUMA NATURE
5. MWANA FA (Mwanafalsafa)
6. FID Q
7. AFANDE SELE
8. CHID BENZ
9. SOLO THANG
10. JOHN MAKINI

NB:Wadau wanaweza kumuulizia Sugu,Namuheshimu Sugu kwa mchango wake mkubwa kwenye Hip Hop. Ni mwanadamu pekee mwenye Album nyingi zaidi namuheshimu kwa hilo,kaupa sana mziki ramani.

Kwainspire wasanii wengi kufanya Hip Hop,,Lkn kwangu sio mwana muziki naemuelewa sana. Ila namuheshimu. Unadhani nani haistaili kuwa kwenye hii List? Na kama akitoka akae nani na kwa kigezo gani?

#Forgive Me
 
1. Prof J
2. Sugu
3. Fid q
4. F.A
5. Nikki Mbishi
6. One incredible

Wengine wanafuata. In order to be G.O.A.T,you have to be a change agent,hao hpo juu kila mmoja alileta mabadiliko kwa wakati wake na still wamemantain na wengine wakafika mpaka mjengoni.
 
1. Sugu aka Taita
2. Professor J
3. Easý B from Kwanza Unit
4. Mangwea
6. Maalim Nash
7. Fid Q
8. Solo Thank
9. Jaý moe
10. Chid Benzino
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom