Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Feb 25, 2022
182
259
Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote;

1. Albert Mangwair
2. Profesa J
3. Jay Mo
4. Juma Nature
5. Mwana FA
6. Afande Sele
7. Fid Q
8. Joh Makini
9. Chid Benz
10. Solo Thang

Nimezingatia Mashairi, mtiririko, album. n.k.

NB. Namuheshimu Sugu ni mmoja ya waasisi wa Hip Hop ila uchanaji wake kwangu haujawahi kunivutia, najua anazo album zaidi ya 10.

Unahisi nani hastahili kuwa kwenye hiyo orodha kwa mtazamo wako, na akitoka aingie nani?

#forgive Me.
 
Joh makini ana albamu ipi?
 
Top 10 yangu kwa Rappers hapa bongo ni kama ifuatavyo
1. Prof Jay
2. NACHA
3. Manengo
4. Rapcha
5. Bando
6. Maarifa
7. Young Dee
8. Rostam
9. Fid Q
10. Bill nass
 
HIP HOP
1. NICAS JOHN MACHUCHE (MBISHI)
2 DIZASTA (The story Teller)
3.FID Q
4.ONE THE incredible (UNO)
5.PROFESA JAY
6.YOUNG LUNYA
7.YOUNG KILLER
8.SONGA
9.SOLO
10.STREO (SINGA SINGA)
 
Back
Top Bottom