Wasanii waliofanya vizuri kwenye 'CHORUS & FEATURING' ila kwenye nyimbo zao wakachemsha

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
1,542
717
Nate dogg, timbalake & kurupt, juma neture, outlaw & 2pac, dataz & sqeezer, dr. dre. q-chilla, jumain dupri, dully sykes, the wailers wa bob marley daz nundaz, chamber squad ya ngwea, luten karama, dr. john, n.k waweza ongeza na wakwako unaowaafahamu
 
Dr dre naye kwenye nyimbo zake alichemsha?.....bob na kundi lake nao walichemsha kwenye nyimbo zao....q chief na juma nature nao walichemsha kwenye nyimbo zao.......SOMA HEADING YAKO NA OSOME ULICHOKIANDIKA UONE KAMA KINA UKWELI VINGINEVYO TUNADANGSNYANA HAPA
 
Asee hata mimi sijamuelewa!
 
Nate dogg, timbalake & kurupt, juma neture, outlaw & 2pac, dataz & sqeezer, dr. dre. q-chilla, jumain dupri, dully sykes, the wailers wa bob marley daz nundaz, chamber squad ya ngwea, luten karama, dr. john, n.k waweza ongeza na wakwako unaowaafahamu

Sidhani kama uko serious
 
Seriously? Umeanza lini kusikiliza muziki?

ilo swali ujiulize wewe unaedhani p-funky ni producer tu, alishaimba nyimbo nyingi tu ikiwamo yote maisha alioshilikishwa na madee mantiki hapa ni kwamba nyimbo alizoimba yeye kama yeye hazijahit sana tofauti na zile alizoshilikishwa, usikurupuke kama una usingizi kakojoe ulale
 
Dr dre naye kwenye nyimbo zake alichemsha?.....bob na kundi lake nao walichemsha kwenye nyimbo zao....q chief na juma nature nao walichemsha kwenye nyimbo zao.......SOMA HEADING YAKO NA OSOME ULICHOKIANDIKA UONE KAMA KINA UKWELI VINGINEVYO TUNADANGSNYANA HAPA

Isome vizuri heading yangu na uoanishe na ulichoandika. ukipata div-5 utamlaumu mulugo kweli?
 
ilo swali ujiulize wewe unaedhani p-funky ni producer tu, alishaimba nyimbo nyingi tu ikiwamo yote maisha alioshilikishwa na madee mantiki hapa ni kwamba nyimbo alizoimba yeye kama yeye hazijahit sana tofauti na zile alizoshilikishwa, usikurupuke kama una usingizi kakojoe ulale

Hiyo lugha tu unayotumia inaonyesha ni kasi gani cha akili ulichonacho. Hizo nyimbo nyingi za Majani ni zipi mbona huzitaji? Mi nachojua Majani nyimbo zake mwenyewe alizo-release ni "in the club" ambao mwenyewe alisema it was just for fun na "please forgive me" aliomuimbia Mama mtoto wake Kajala. Na kwa taarifa yako "in the club" uli-hit.

Dr Dre aliimba chorus lini? Q Chilla, Juma Nature, Dataz & Squeezer, Dully Sykes, Daz Nundaz walichemsha kwenye nyimbo zao? Ndio maana imekuuliza umeanza lini kusikiliza muziki.
 
2pac na Outlawz , bob na Waillers na Dr Dre...??????
upo serious kweli wewe au haujui muziki ?
kanawe kwanza uondoe tongotongo
 
huyu Justin timberlake unayemzungumzia ni huyu aliyeimba suit n tie,mirrors na apologize?? dr. dre ni yule wa i need a dr? tupac ni yule marehemu aliyeimba makaveli na dear mama? dully Sykes wa bongo fleva na HI? na juma nature huyu huyu au kuna mwingine.............kama unawaongelea hao watu hebu omba radhi kidogo both of them are doing music not singing
 
Seriously? Umeanza lini kusikiliza muziki?

wewe ndiye tukuulize umeanza lini kusikiliza muziki kaka,je una maana hujawah kusikia kwamba p-funky alishawah kuimba viitikio kwenye nyimbo tofauti tofauti,ok ngoja nikukumbushe,,mwaka 1999 p funk aliimba kiitikio kwenye wimbo wa gheto wa juma nature 'tulianzisheni la kigeto geto juma nature, p funky na king ze beto,tuyapangilie na madili yetu'' nyingine ni hile aliyowah kushirikishwa na madee unaitwa 'haya yote ni maisha'.,,p funky anaimba haya yote ni maisha,hipo siku yatakwisha' na ata video yake hpo,kama hujui jambo husikurupuke kumsakama mwenzako na wewe ndo hujui
 
Acha uongo! Chorus ya wimbo wa kigetogeto remix ilifanywa na Mr Paul na sio Majani kama unavyotaka kupotosha. Pia wewe unasema Majani kaimba nyimbo nyingi halafu kila siku unatutajia wimbo huo huo mmoja alioshirikishwa na Madee, nataka ututajie hizo nyimbo nyingi unazodai kaimba ukiacha zile nilizotaja mimi, ni zipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom