Wasanii waliofanya vizuri kwenye 'CHORUS & FEATURING' ila kwenye nyimbo zao wakachemsha

Acha uongo! Chorus ya wimbo wa kigetogeto remix ilifanywa na Mr Paul na sio Majani kama unavyotaka kupotosha. Pia wewe unasema Majani kaimba nyimbo nyingi halafu kila siku unatutajia wimbo huo huo mmoja alioshirikishwa na Madee, nataka ututajie hizo nyimbo nyingi unazodai kaimba ukiacha zile nilizotaja mimi, ni zipi?
Naona umemvuwa chupi kabisa kwisha habari yake.
 
Hiyo lugha tu unayotumia inaonyesha ni kasi gani cha akili ulichonacho. Hizo nyimbo nyingi za Majani ni zipi mbona huzitaji? Mi nachojua Majani nyimbo zake mwenyewe alizo-release ni "in the club" ambao mwenyewe alisema it was just for fun na "please forgive me" aliomuimbia Mama mtoto wake Kajala. Na kwa taarifa yako "in the club" uli-hit.

Dr Dre aliimba chorus lini? Q Chilla, Juma Nature, Dataz & Squeezer, Dully Sykes, Daz Nundaz walichemsha kwenye nyimbo zao? Ndio maana imekuuliza umeanza lini kusikiliza muziki.

kuna KIITIKIO na KUSHIRIKISHWA sasa hapo chini naona umejichanganya!
 
Uzi wa kiwango cha chini sana huu. Hata haujulikani unamaanisha nini. Jipange sana tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom