Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Afadhali Mkuu, umemaliza ubishi.

Sasa wale ndugu zetu wa Real Estate au Quantity Surveyors, tunaomba makisio tu, kwa kuiangalia nyumba hii ina thamani gani?

Maxence Melo anaweza kutusaidia hapa
 
Tusubirie Michelle Show.....!

Mkuu, hebu wasikilize Madame Rita na Sinta wanavyoongelea hizo talk Show zao:

MADAME RITA

"Nimekuwa impressed kufanya TV show hii after I met a male tailor aged 50 ambaye ni mlemavu wa macho lakini alinishonea gauni la batiki kwa kutumia vifaa na cherehani zinaotumiwa na mafundi wa kawaida iliyonifanya niamini kuwa ulemavu si kikwazo cha kufanikiwa hata kidogo katika rnaisha" "Following that niliamua kuanzisha" TRUE LIFE SHOW"ambayo ni platform ya kuongelea matatizo mbalimbali with solutions,biashara pamoja na mafanikio ya watu mbalirnbali"

"Show nimeanza kuifanya muda mrefu lakini imechelewa kwenda hewani kutokana na BSS All Star, lakini sasa nimeanza ku-shoot series za show hiyo, na mungu akipenda earlier this year utaiona "True Life" on favorite TV station:'

SINTA

"Show yangu itakuwa katika mfumo wa documentary ambayo itakuwa inahusu vitu tofauti like different current issues, mambo ya wanyama and concerts. The show is produced and directed by The great George Tyson. So far bado hutajaamua jina gani tulitumie kwa ajili ya kipindi lakini nafikiri itaanza kuruka sometimes this year:'
 
Maxence Melo anaweza kutusaidia hapa

Mashallah, kweli kabisa . . . hata sisi wenyewe tukijikunja tunaweza . . . sometimes ni arguments tu tunafanya for the sake of arguments. But people knows the truths.
 
Haaaa haaaa hiyo SMH . . . . angalia MODS wasije wakakupiga ban ya kudumu. Ndo maana mimi napeta tu, kumbe TF hayupo? naona alikuwa busy sana na misiba. time hivi nilimwona mahali, ila najua hakunitambua . . . lol

Hii issue mkuu, inawezekanika . . . mimi nimefanya maandalizi fulani hivi . . . ila tutaongea uraiani (PM). Uko poa lakini?

SMH (JF Mods,nakumbukia ile BAN)lol, TF hayupo, ndio alikuwepo kwenye msiba,sasa mbona hukumsalimu mwenzio jamani?
Niko poa kabisa, nafurah kusikia umeshaanza maandalizi fulani....haya ukiwa free,mi nipo uraiani!
 
Lesson Learnt: Inawezekana kabisa kupata pesa nzuri bila ufisadi wala bila kubebwa. Juhudi na maarifa ndiyo siri ya mafanikio.

Big up sana vijana wetu. Wasanii na Wanamichezo wengine tuige mfano.

Wengine sijuhi ila Prof. JAYU ni MADAWA YA KULEVYA yanayomuweka hapo alipo, thats all.
 
Mkuu, hebu wasikilize Madame Rita na Sinta wanavyoongelea hizo talk Show zao:

MADAME RITA

"Nimekuwa impressed kufanya TV show hii after I met a male tailor aged 50 ambaye ni mlemavu wa macho lakini alinishonea gauni la batiki kwa kutumia vifaa na cherehani zinaotumiwa na mafundi wa kawaida iliyonifanya niamini kuwa ulemavu si kikwazo cha kufanikiwa hata kidogo katika rnaisha" "Following that niliamua kuanzisha" TRUE LIFE SHOW"ambayo ni platform ya kuongelea matatizo mbalimbali with solutions,biashara pamoja na mafanikio ya watu mbalirnbali"

"Show nimeanza kuifanya muda mrefu lakini imechelewa kwenda hewani kutokana na BSS All Star, lakini sasa nimeanza ku-shoot series za show hiyo, na mungu akipenda earlier this year utaiona "True Life" on favorite TV station:'

SINTA

"Show yangu itakuwa katika mfumo wa documentary ambayo itakuwa inahusu vitu tofauti like different current issues, mambo ya wanyama and concerts. The show is produced and directed by The great George Tyson. So far bado hutajaamua jina gani tulitumie kwa ajili ya kipindi lakini nafikiri itaanza kuruka sometimes this year:'

Madam Rita namkubali na anajua haswaa anataka kufanya nini, Sinta sijamuelewa vizuri lakini nina imani akijipanga vizuri pia anaweza kufanya Talk Show nzuri kumzidi hata Joyce...!
 
I think magazine imesema kuwa ni Gross . . . . Of course Authentication in Tanzania is never possible. Hata hao wanaodhaniwa kuwa wanalipa kodi bado zinachakachuliwa.

So assumption ya hapa ni kwenda kwa makisio na kinachoonekana kwa macho.

Juu ya thamani ya nyumba ya Professor Jay inayoonyeshwa katika blogs mbalimbali na pia niliona kwebnye TV, yes it is possible for maana kwa sasa vifaa vya ujenzi viko juu sana: Cement; Tiles; Vigae; Cereamics; Plumbing; Electricity nk.

Waiopitia experience ya ujenzi siku za karibuni wanaweza wakawatoa maoni yao. Pia Market value huwa iko juu kuliko gharama za ujenzi.

Ukii value nyumba yake kwa market price kwa sasa inaweza kufika hy cost, ila hy nyumba kaanza kuijenga miaka mi5 iliyopita ambapo bei ya vifaa vya ujenzi havikuwa kubwa kama sasa
 
SMH (JF Mods,nakumbukia ile BAN)lol, TF hayupo, ndio alikuwepo kwenye msiba,sasa mbona hukumsalimu mwenzio jamani?
Niko poa kabisa, nafurah kusikia umeshaanza maandalizi fulani....haya ukiwa free,mi nipo uraiani!

Haaaa haaaa nilitaka nijitambulishe kwake kuwa mimi ni Mwanakijiji nikaona atanishtukia. Nilimsalimia. Kijana wetu yuko poa sana. Ila hakunigundua.

Bora hayupo, angekuwa kisha niwekea kiwingu.

Sfari hii Posa Kilimanjaro. Non Stop.
 
Madam Rita namkubali na anajua haswaa anataka kufanya nini, Sinta sijamuelewa vizuri lakini nina imani akijipanga vizuri pia anaweza kufanya Talk Show nzuri kumzidi hata Joyce...!

Nimekusoma Mkuu.

Binti Sinta huwa naona ana Blog fulani hivi . . . Yu wapi na anafanya nini siku hizi? Ananikumbusha habari za Juma Nature. Wakati huo hata Diamond na Wema hawako katika ramani.

Ama kweli maisha yanabadilika.
 
Ukii value nyumba yake kwa market price kwa sasa inaweza kufika hy cost, ila hy nyumba kaanza kuijenga miaka mi5 iliyopita ambapo bei ya vifaa vya ujenzi havikuwa kubwa kama sasa

I totally agree Mkuu.

Respect.
 
Haaaa haaaa nilitaka nijitambulishe kwake kuwa mimi ni Mwanakijiji nikaona atanishtukia. Nilimsalimia. Kijana wetu yuko poa sana. Ila hakunigundua.

Bora hayupo, angekuwa kisha niwekea kiwingu.

Sfari hii Posa Kilimanjaro. Non Stop.

Yeah TF yuko poa sana....mwache akae huko aliko, everything happens for a reason...lol

Wahisha hiyo posa, natafuta mtaji wa kuanzia biashara...!
 
Yeah TF yuko poa sana....mwache akae huko aliko, everything happens for a reason...lol

Wahisha hiyo posa, natafuta mtaji wa kuanzia biashara...!

Haaaa haaaa hiyo kali Miche, kama posa haitatosha kwa mtaji itakuwaje?

Kama vipi nimabie kama unaweza kuwa Msanii kama JD tufanye kweli . . .

Ila naku-RAV4 sana. Ile Avatar ya zamani niaje?
 
Sidhani kama Bab kubwa Magazine linamilikiwa na Emelda. Bali linamilikiwa na Clouds Media Group,na Emelda ninachofahamu anaendesha jarida la 'Bang'.
Ila sidhani kama kuna uhalisia wa asilimia 100 kuhusu hao top 5 kutengeneza mkwanja wa namna hiyo. Pengine wameandika hivyo ili kuuza jarida lao. Na hata tukimchambua msanii mmoja mmoja.
1. Hasheem Thabeet- Jamaa sio msanii bali ni mwanamichezo na hata hicho kipato chake ambacho wameandika kwamba alitengeneza mwaka jana,nadhani ni kwa upande wa mshahara tu na hapo bado ujaondoa makato mbalimbali ikiwemo kodi.
2. Lady Jaydee na Prof Jay-sidhani kama vyanzo vyao vya mapato viko wazi kiasi hicho.
3. Ray na Kanumba-Hawa inaonekana kama wanatengeneza fedha nyingi sana kupitia movies,ila sidhani kama kuna ukweli kwa 1oo% kusema wametengeneza pesa kiasi hicho.

Note: Sijampinga msanii au yeyote aliyepo katika orodha hiyo,ila sitaki kuamini kuwa hiyo habari ina ukweli kiasi cha hata asilimia 40.
 
Haaaa haaaa hiyo kali Miche, kama posa haitatosha kwa mtaji itakuwaje?

Kama vipi nimabie kama unaweza kuwa Msanii kama JD tufanye kweli . . .

Ila naku-RAV4 sana. Ile Avatar ya zamani niaje?

Yaani ukose milioni 50 ya mtaji jamani? Haiwezekani.....isipotosha utasubiri tu au ulipe kwa installment...lol

Naweza kuwa hata zaidi ya JD ila si kwenye kuimba.....lol

Kuni Rav4 ndo kunifanyeje tena? Avatar ipi hiyo mkuu,ya huyu dada au mwingine?
 
Back
Top Bottom