Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Umechemsha kubwa mzee yussuf au kwa vile anaimba taarabu??
Kwa taarifa yako ana nyumba kumi hapa mjini
ana duka quality centre
ana banda ana maduka ya nguo na spare magomeni na kariakoo
na pia anautajri wa wake upo hapo??
Bado hatujaongelea pesa za bank
kalangabao na kina ray wako
 
Umechemsha kubwa lao mzee yussuf au kwa vile anaimba taarabu??
Kwa taarifa yako ana nyumba kumi hapa mjini
ana duka quality centre
ana banda ana maduka ya nguo na spare magomeni na kariakoo
na pia anautajri wa wake upo hapo??
Bado hatujaongelea pesa za bank
kalangabao na kina ray wako
 
Umechemsha kubwa mzee yussuf au kwa vile anaimba taarabu??
Kwa taarifa yako ana nyumba kumi hapa mjini
ana duka quality centre
ana banda ana maduka ya nguo na spare magomeni na kariakoo
na pia anautajri wa wake upo hapo??
Bado hatujaongelea pesa za bank
kalangabao na kina ray wako

Kweli nilishawasikia Mzee Yussuph anamiliki Band ya Chuchu Sound na studio enzi hizo mwanzoni mwa miaka ya 2000.

So kwa sasa kutokuwepo kwenye list hiyo ni unafiki wa hali ya juu. Sinzani kama Prof Jay anafanya shows nyingi ukilinganisha na Mzee Yussuph ,pia kiamauzo Mzee Yusuph atakuwa juu zaidi . Mimi si mshabiki wa taarabu ila penye ukweli tuwe wawakweli.
 
na huyu bitoz diamond mbona wanamzungumza kuwa ana mshiko wa ukweli na akipiga shoo moja bas anakuwa ameingiza 10milion, au ndo soga za vijiwen
 
Hakuna mwenye Pesa za kweli hapo Uongo Mtupu Naweza Tu Kuamini Madam Ritha Na Matonya Tonya Bussnes wanakwaja mrefu katika suala la ShowBIZ Tonya ana nyumba Nne Ritha ameinvest mamilion ya mkwaja
 
Back
Top Bottom