Wasaliti na Mafisadi nani wenye nafuu kwenye Chama?

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Kwa muda sasa kumekuwa na makundi mawili ambayo ni mwiba kwenye chama cha ccm. makundi haya ni lile la wanaotajwa kuwa ni mafisadi na lingine ni la wasaliti wa chama. Kati ya haya makundi mawili lipi linanafuu liendelee kuvumiliwa kwenye chama?
 
Mafisadi ni wasaliti pia, wameamua kusaliti kiapo chao cha kutumikia wananchi na badala yake wanaiba..
Hivyo basi, Mafisadi = Wasaliti..
Wasaliti ni Mafisadi ambao wanaamua kusaliti makubaliano waliyojiwekea na wengine ili kulinda maslahi yao (iwe maisha, fedha au mali)..
Hivyo basi, Wasaliti = Mafisadi..
 
Jibu tosha.
Hakuna aliye bora hata kidogo.
 
Back
Top Bottom